Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,590
- 28,761
- Thread starter
- #41
Ah DTV wa mikoani tulikua hatuijui hiyo.Kanunua DTV wewe. Mimi nilikuwa namchapa mwanangu kwa kupanda kwenye madirisha ya jirani kuangalia picha za kihindi kwenye DTV. Early 90s.
Sie tv ya kwanza kuiona ni ITV, miaka hiyo Mengi alikuwa anasambaza ma TV fulani makubwa mikoani yanaunganishwa na ITV, hapo ndio hilo jina likazaliwa