Ukimuona huyu jamaa unakumbuka nini

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,515
28,487
12985580_1034008026664464_5629267708550671177_n.jpg

Almaarufu kama Puri
Muvi za kihindi zilikuwa zinatafsiriwa na Rufufu yaani ni full kutupiga fix, ikifika wakati wa nachi anaweka wimbo wa Defao au Pepekale, Maisha yalikuwa matamu sana.
 
Ha! ha! umenikumbusha nyimbo za kihindi tulikuwa tunaita Masongi,baada ya kuwa mkubwa ndo nikajua song sio nyimbo za kihindi.
 
teh teh teh Masongi??
Ndio nasikia leo hiyo mkuu, sie tulikuwa tunaita nachi, nakumbuka enzi hizo tuko mikoani huko kiingilio bandani ni Tshs 30 unacheki muvi, kama huna inabidi uwahi kufagia ukumbi wa kuoneshea muvi halafu unaingia bure.

Watu tulikuwa tunagombania kufagia ukumbi mpaka aibu
 
ha! ha! ilikuwa ikifika sehemu ya kuimba nyimbo mkusanyaji hela alikuwa anapeleka mbele mixer watu kufoka weweeeee! acha hapo hapo nasi pia tulikuwa tunalipa tsh 25 hadi 30 , hii ilikuwa somewhere in Tz.Aisee maisha hayajirudii babake siku izi watoto wanakuwa ndani ya fence full electricity fance,full cctv camera , security guard na masausage ma pizza na mabaga , watajua wapi haya makitu ,wengine wanakwambia anauza genge sijui wapi!
 
teh teh teh Masongi??
Ndio nasikia leo hiyo mkuu, sie tulikuwa tunaita nachi, nakumbuka enzi hizo tuko mikoani huko kiingilio bandani ni Tshs 30 unacheki muvi, kama huna inabidi uwahi kufagia ukumbi wa kuoneshea muvi halafu unaingia bure.

Watu tulikuwa tunagombania kufagia ukumbi mpaka aibu
Haaaa the struggle was real ....

Mi wa uswazi uswazini... dah maisha haya
 
Back
Top Bottom