Ukimuacha mpenzi muache vizuri, sio kumzulia mambo mabaya

Break up nyingi lazima ziambatane na visa, visasi, maneno na masimango...

Kwa sababu mmoja anakua amechoka, mwingine bado anataka mahusiano...

Cc: mahondaw
Inashangaza zaid pale aliyeamua kumove on ndiye anayeleta maneno yasofaa ilhali hajalazimishwa wala kung'ang'aniwa kuendelea kuwa kwenye hyo relatiin
 
Unapoamua kuachana na mtu achana nae for good usimtafutie sababu kwa kumzulia jambo lisilo la kweli na kumpakaza mabaya kwa wengine, kwani kufanya hivo haitakufanya wewe kuonekana mwema kwa wengine na haisaidii chochote wala haiongezi chochote. Hakuna mtu anaforce mtu awe nae hiyo ni choice when u decide to move on move for good.
Asilimia zaidi ya 90 wapo hivyo aisee. Watu wamejaa majunguuuu, umbeaaa, kuzushaaa, wanafikiiii hadi inakera.. Kutetana ndo usiseme...
 
Unapoamua kuachana na mtu achana nae for good usimtafutie sababu kwa kumzulia jambo lisilo la kweli na kumpakaza mabaya kwa wengine, kwani kufanya hivo haitakufanya wewe kuonekana mwema kwa wengine na haisaidii chochote wala haiongezi chochote. Hakuna mtu anaforce mtu awe nae hiyo ni choice when u decide to move on move for good.
Dada illuminata. Hii ishu imenitokea dec 2016. Ex niliekuwa nawe alinitendea vituko sana, licha uvumiliv niliokuwa nao kwake. Tuliachana lakin alienda kusambaza maneno machaf kuhusu mimi,alinisingizia kwa mengi. Akaolewa mwezi mmoja baada ya break up huku akijitamba.

Well miezi miwili kwenye ndoa akaanza kunitumia sms za kizush .. nikamkaushia moja kwa moja
 
Aiseeee,ulifanya vema kumkaushia mkuu mana alichofanya kukutafta tena n unafki
 
Back
Top Bottom