Ukimuacha mpenzi muache vizuri, sio kumzulia mambo mabaya

A lovely word from a lovely Luminosity!

Yes unajua kuachana namtu kwa kumzushia Uongo machoni pawatu ili umfanye asiaminike tena nijambo baya sana na lakukemea ,kama MTU kakufanyia ubaya wee kwenda zako IPO siku huo Ubaya utajidhihirisha kweli machon pa wengi !!.

Wanaume Wa iyo huwa niwabaya sana nahuishia kutanga tanga ,, Na mwanamke aloachwa na mwanamme Wa aina iyo huwa ni mzuri sana nje na ndani , na ikitokea Umekuja na Umemshika mkono , nakutembea naye njiani ktk wakati ambao nayeye anastruggle kuifanya jamii impende , basi moja kwa moja atakukabidhi kuanzia unyayo mpaka nywele zake .

"Sometimes good looks do not go to with virtue and ugliness do not go with sins".
Thank you Putin
It hurts you know yan mtu baada ya ku break Up anaanza kuongea shit about you na mengne ambayo hayapo kabisaaa but yanaibuka baaada ya yeye kuamua ku move on
 
Thank you Putin
It hurts you know yan mtu baada ya ku break Up anaanza kuongea shit about you na mengne ambayo hayapo kabisaaa but yanaibuka baaada ya yeye kuamua ku move on
Aaaahhh unajua MTU wa aina iyo nikuacha aendelee kufanya aonaye yeye nisahihi ila mwisho wake hua ni Aibu.

Sometimes tunahitajiwa kua Wavumilivu wakati ambao tunaitafuta Furaha yakweli , furaha iyo inaweza isije haraka nainaweza isije kirahis but it will be worth it !!

Ukumbuke tu kua nyakati ngumu maishani nisawa na mazoezi ya viungo vya mwili, MTU unaweza ukawa huyapendi wakati unayafanya ila nihayo hayo indirect yanakufanya kesho yako uwe "Strong".
 
Nimeachanaa na mademu kadhaa lakini walee nloachana naoo kwa kuwakashfu na kuwatukna hadi leoo naonaa. Nlikoseaa sanaa japoo waoo ndo walianzaa...!! Soo kuachna na mtu bila kashfa au matusi ni jamboi jemaa sanaa...
 
Aaaahhh unajua MTU wa aina iyo nikuacha aendelee kufanya aonaye yeye nisahihi ila mwisho wake hua ni Aibu.

Sometimes tunahitajiwa kua Wavumilivu wakati ambao tunaitafuta Furaha yakweli , furaha iyo inaweza isije haraka nainaweza isije kirahis but it will be worth it !!

Ukumbuke tu kua nyakati ngumu maishani nisawa na mazoezi ya viungo vya mwili, MTU unaweza ukawa huyapendi wakati unayafanya ila nihayo hayo indirect yanakufanya kesho yako uwe "Strong".
True
I got you Dear
Thank u again
 
Mnaachana kwa amani ikitokea siku umekabwa na vibaka hata anakusaidia. Sio mtu unaachana naye unampa mvua za matusi. Kwa wanaume zamani sijui kama ipo siku hizi ukimuacha anakuvizia anakupa kipondo
 
Busara ni muhimu sana, mkiachana kirohosafi kila mmoja atamkumbuka mwenzake kwa hekima iliyotumika, mtaheshimiana siku zote za maisha yenu, pia mtaweza kukumbushana kale kamchezo bila shida hata mkiwa kila mtu na familia yake.
 
Unapoamua kuachana na mtu achana nae for good usimtafutie sababu kwa kumzulia jambo lisilo la kweli na kumpakaza mabaya kwa wengine, kwani kufanya hivo haitakufanya wewe kuonekana mwema kwa wengine na haisaidii chochote wala haiongezi chochote. Hakuna mtu anaforce mtu awe nae hiyo ni choice when u decide to move on move for good.
Kama haiongezi au kupunguza chochote kwanini iwe conern?
 
Break up nyingi lazima ziambatane na visa, visasi, maneno na masimango...

Kwa sababu mmoja anakua amechoka, mwingine bado anataka mahusiano...

Cc: mahondaw
 
Mnaachana kwa amani ikitokea siku umekabwa na vibaka hata anakusaidia. Sio mtu unaachana naye unampa mvua za matusi. Kwa wanaume zamani sijui kama ipo siku hizi ukimuacha anakuvizia anakupa kipondo
True kuachana kwa aman n vema
Maaana ukimzulia mtu mabaya sidhan kama akikukuta una janga ataweza kukupa msaada zaid ya kupita tu
 
Back
Top Bottom