Ukimuacha mpenzi muache vizuri, sio kumzulia mambo mabaya

Illuminata Rodgers

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
2,845
2,017
Unapoamua kuachana na mtu achana nae for good usimtafutie sababu kwa kumzulia jambo lisilo la kweli na kumpakaza mabaya kwa wengine, kwani kufanya hivo haitakufanya wewe kuonekana mwema kwa wengine na haisaidii chochote wala haiongezi chochote. Hakuna mtu anaforce mtu awe nae hiyo ni choice when u decide to move on move for good.
 
Unapoamua kuachana na mtu achana nae for good usimtafutie sababu kwa kumzulia jambo lisilo la Kweli na kumpakaza mabaya kwa wengne, kwani kufanya hvo haitakufanya wewe kuonekana mwemaa kwa wengne na haisaidii chochote wala haiongez chochote
Hakuna mtu anaforce mtu awe nae hiyo n choice when u decide to move on move for good..
Pole sana muhanga wa janga hili haya yanaisha!
 
Unapoamua kuachana na mtu achana nae for good usimtafutie sababu kwa kumzulia jambo lisilo la Kweli na kumpakaza mabaya kwa wengne, kwani kufanya hvo haitakufanya wewe kuonekana mwemaa kwa wengne na haisaidii chochote wala haiongez chochote
Hakuna mtu anaforce mtu awe nae hiyo n choice when u decide to move on move for good..
A lovely word from a lovely Luminosity!

Yes unajua kuachana namtu kwa kumzushia Uongo machoni pawatu ili umfanye asiaminike tena nijambo baya sana na lakukemea ,kama MTU kakufanyia ubaya wee kwenda zako IPO siku huo Ubaya utajidhihirisha kweli machon pa wengi !!.

Wanaume Wa iyo huwa niwabaya sana nahuishia kutanga tanga ,, Na mwanamke aloachwa na mwanamme Wa aina iyo huwa ni mzuri sana nje na ndani , na ikitokea Umekuja na Umemshika mkono , nakutembea naye njiani ktk wakati ambao nayeye anastruggle kuifanya jamii impende , basi moja kwa moja atakukabidhi kuanzia unyayo mpaka nywele zake .

"Sometimes good looks do not go to with virtue and ugliness do not go with sins".
 
Wanawake huwa lazima atafute sababu kama sio Kukuomba helaa bhasi atakuzunguka...!! Mwanaume unapigaa kimyaaa yanii....
 
Similar Discussions

11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom