Uchaguzi 2020 Ukimsikiliza sana Tundu Lissu utagundua sifa hizi kuu kwa huyu Rais mtarajiwa

Mimi nilikua sijui kua ukimtoa Karume mdogo marais wazanzibar waliobakia wote waliteuliwa LUMUMBA hawakuwahi pigiwa Kura.
Ile shule ya Tundu Lissu kule zanzibar hakuna hata mmoja anaweza kukosoa kama hataki kuumbuka. Iko deep sana. Nilikuwa sijui kama tanganyika tulipata uhuru mwaka 1958.
 
Utopolo mtupu, jiwe tumuite nani vile ambaye anaona wenzake waliomtangulia hawajafanya kitu maoni ya kipumbafu kutoka pumbafu fulan hapo korido za Lumumba
 
Uko sawa kabisa, kumbe ni bogus maandazi mmoja hivi.
 
Unapoandika kitu, kiwekee na justification.

Lissu kasema Tanzania haijafanya jambo zuri hata siku moja?

Hata baba yake na mama yake kukutana Tanzania na kumzaa yeye si uambo zuri kwake?

Hata yeye kusomeshwa Tanzania kasema si jambo zuri?
 
Kama hayo yote uliyoyaeliza ni kweli, "Kwanini Alishambuliwa kwa RISASI badala ya HOJA"?

Ni wazi kuwa Mh. Lissu muziki wake siyo wa kitoto. Na hadi hivi sasa nasikia Jiwe yuko hoi kwa mawazo.

Sioni haja yenu kutumia muda mwingi kumshambulia Mh Lissu kama Yeye bali hoja zake kwa Ninyi kuzileta hoja zilizo bora zaidi ili Wananchi/Wapiga kura wazipime na kisha kufanya maamuzi.

"Wekeni silaha na matusi pembeni tupambaneni kwa hoja majukwaani"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamanda nitajie hata case mbili alizo shinda tundu lissu
Mkuu wala usihangaike kutafuta eti ni kesi zipi. Mfano rahisi tu ni jinsi Alivyowekewa vizingiti vingi wakati wa kurudisha fomu yake kwenye Ofisi za NEC. Lakini hoja zote zile alizipangua na kisha kuibuka mshindi na Tume kumteua rasmi kuwa Mgombea Urais. Je hapo kwako wewe siyo masuala ya Kisheria??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muanzisha mada unapaswa kujua kuwa kuna tofauti kati ya NCHI na SERIKALI. Wewe kwa ufahamu wako, unadhani Lissu anaisema serikali au Tanzania?
 
CCM tujaribu kujibu hoja sio kufanya ngonjera za kijinga kama za mleta mada. Kama huna cha kujibu wananchi sio wajinga. Limekorogwa sasa tulinywe. Hoja zijibiwe.
 
Hayo hayatutishi ukizingatia anaongea na watanzania waliongongozwa na kiongozi mkatili kuliko wote africa. Magufuli ni dikteta hitler wa africa.
 
Lissu anawaeleza watanzania ukweli mchungu na ambao msingependa watu waelezwe.

Ukatili,dhuluma, uonevu na unyanyasaji ndio sifa kuu za awamu hii na ambazo Lissu anazilaani majukwaani huku wananchi wanamshangilia.

Tulieni muelezwe ukweli.
Wameelezwa ukweli Kisha wakaamua kumkataa mchana kweupe
 
Mbona hizi ni sifa za mheshimiwa Rais wetu anayetokea Chato? Yeye ndio amesema mwenyewe hapangiwi na kwa vitendo ameonesha kwamba anajua kila kitu hamna mtaalam zaidi yake.

Hata waliomtangulia kasema walikuwa wanachezea nchi yeye ndio mzalendo.
 
This is a very fair characterization of this puppet!

Mkuu, ukipenda gonga kinywaji kwa gharama yangu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…