Moja ya kesi aliyoshinda ni ile ya aliyemleta Ruttashobolwa hapa sayarini kubakwa na wanaume watano wakati akiuza lubisi huko nyaishozi.Kamanda nitajie hata case mbili alizo shinda tundu lissu
Nyaishozi ya karagwe au muleba ??Moja ya kesi aliyoshinda ni ile ya aliyemleta Ruttashobolwa hapa sayarini kubakwa na wanaume watano wakati akiuza lubisi huko nyaishozi.
1: Ni mr negative, yani kwake yeye Tanzania haikuwahi kufanya jambo zuri hata siku moja. Tangu Uhuru hadi leo Tanzania haina jema hata moja kwake. Yaani kwake Tanzania imefeli kila kitu.
2: Anajua Sheria kuliko watanzania wote walio wahi kusoma na waliopo kwenye taaluma hiyo. Majaji, mahakimu, mawakili n.k wote kwake ni mambumbumbu tu wasiojua kitu kwenye sheria.
3: Yeye ndio msomi peke yake Tanzania nzima, walio baki wote ni vilaza kuanzia walimu wake walio mfundisha hadi viongozi wenzake alio nao chamani. Kwakifupi kwamba yeye ndio msomi pekee hapa Tanzania na ana fani na taaluma zote kabisa hajakosa hata moja.
4: Tanzania haikuwahi kuwa na kiongozi bora tangu Uhuru kuanzia baba wa Taifa ( ambaye kwake ni muuaji na ni mkolini aliye kalia Zanzibar kimabavu) hadi hawa viongozi wa sasa. Yaani ngazi zote kuanzia Marais wote hadi Wajumbe wa nyumba kumi wato kwake yeye ni takataka.
5:Ni mtu aliye tayari kutetea na kuunga mkono chochote ili mladi tu kinaisema vibaya Tanzania.
Yaani chochote kile kinachoweza kutumika kushambulia Tanzania na viongozi wake yupo tayari kukiunga mkono mladi tu kinampa faida kisiasa.
Hayo ni maoni yangu sio lazima yafanane na yako.

HeheheTena hapo amesubiri shemeji yake ameweka simu chaji ndiyo na yeye amepata nafasi ya kupost hii takataka yake
Ile shule ya Tundu Lissu kule zanzibar hakuna hata mmoja anaweza kukosoa kama hataki kuumbuka. Iko deep sana. Nilikuwa sijui kama tanganyika tulipata uhuru mwaka 1958.Wewe unasumbuliwa na mambo mawili, kwanza hutaki kuujua ukweli kuhusu Tanzania kupitia kusoma na kujielimisha na pili ukiambiwa ukweli na wanaojua pia hutaki. Lissu ni mtu anayesoma na kufuatilia mambo ya nchi hii sana na hivyo anayafahamu kweli kweli, ndiyo maana majuzi kule visiwani alitoa darasa tosha na hakuna hata mmoja aliyemzomea au kumpinga. Mwisho wewe pia umezoea kudanganywa sanaa.
Wametumwa na Bashiru waje kupambana na watanzania wenye hoja. Lakini kama hawa ndio UVCCM kazi ipo. Wanamwaibisha katibu mkuu Ally Bashiru kwa kuja kutoa utetezi wa hovyo.Huu ni moja kati ya uzi mbovu kabisa kuusoma.
Lumumba punguzeni ujinga
Hata kama mna masilahi hamuyatendei haki mnaandika madudu sana
Fikicha akili
Kwa wataalamu wa physcology na physchiatry watakuambia ana ugonjwa unaoitwa GRANDIOSITY.1: Ni mr negative, yani kwake yeye Tanzania haikuwahi kufanya jambo zuri hata siku moja. Tangu Uhuru hadi leo Tanzania haina jema hata moja kwake. Yaani kwake Tanzania imefeli kila kitu.
2: Anajua Sheria kuliko watanzania wote walio wahi kusoma na waliopo kwenye taaluma hiyo. Majaji, mahakimu, mawakili n.k wote kwake ni mambumbumbu tu wasiojua kitu kwenye sheria.
3: Yeye ndio msomi peke yake Tanzania nzima, walio baki wote ni vilaza kuanzia walimu wake walio mfundisha hadi viongozi wenzake alio nao chamani. Kwakifupi kwamba yeye ndio msomi pekee hapa Tanzania na ana fani na taaluma zote kabisa hajakosa hata moja.
4: Tanzania haikuwahi kuwa na kiongozi bora tangu Uhuru kuanzia baba wa Taifa ( ambaye kwake ni muuaji na ni mkolini aliye kalia Zanzibar kimabavu) hadi hawa viongozi wa sasa. Yaani ngazi zote kuanzia Marais wote hadi Wajumbe wa nyumba kumi wato kwake yeye ni takataka.
5:Ni mtu aliye tayari kutetea na kuunga mkono chochote ili mladi tu kinaisema vibaya Tanzania.
Yaani chochote kile kinachoweza kutumika kushambulia Tanzania na viongozi wake yupo tayari kukiunga mkono mladi tu kinampa faida kisiasa.
Hayo ni maoni yangu sio lazima yafanane na yako.
BasisiiiMsingi wa Maendeleo ya Watu ni kuwa na uhakika kuwa sheria, katiba itafutwa bila kupuuzwa au upendeleo na haki kutendeka.
Uhuru , Haki na Kazi vikiwepo basi uwekezaji ngazi ya mtu mmoja ,familia, jamii , kampuni utaweza kufanyika na nchi itapata maendeleo ya kiuchumi, kijamii na kisiasa.
Ikiwa hakuna Uhuru na haki basi hata kazi hazitatendela kwa ufanisi, wawekezaji wa ndani na wadau wa maendeleo wadau wa nje hawatakuja kuwekeza, dhuluma baina ya mtu na mtu, serikali kwa mtu itatamalaki na mwisho chuki dhidi ya serikali au mtu au kiongozi.
Dawa ya yote haya ni UHURU, HAKI NA KAZI halafu mambo yote yatakwenda sawasawa.
Tired of nasty posts!1: Ni mr negative, yani kwake yeye Tanzania haikuwahi kufanya jambo zuri hata siku moja. Tangu Uhuru hadi leo Tanzania haina jema hata moja kwake. Yaani kwake Tanzania imefeli kila kitu.
2: Anajua Sheria kuliko watanzania wote walio wahi kusoma na waliopo kwenye taaluma hiyo. Majaji, mahakimu, mawakili n.k wote kwake ni mambumbumbu tu wasiojua kitu kwenye sheria.
3: Yeye ndio msomi peke yake Tanzania nzima, walio baki wote ni vilaza kuanzia walimu wake walio mfundisha hadi viongozi wenzake alio nao chamani. Kwakifupi kwamba yeye ndio msomi pekee hapa Tanzania na ana fani na taaluma zote kabisa hajakosa hata moja.
4: Tanzania haikuwahi kuwa na kiongozi bora tangu Uhuru kuanzia baba wa Taifa ( ambaye kwake ni muuaji na ni mkolini aliye kalia Zanzibar kimabavu) hadi hawa viongozi wa sasa. Yaani ngazi zote kuanzia Marais wote hadi Wajumbe wa nyumba kumi wato kwake yeye ni takataka.
5:Ni mtu aliye tayari kutetea na kuunga mkono chochote ili mladi tu kinaisema vibaya Tanzania.
Yaani chochote kile kinachoweza kutumika kushambulia Tanzania na viongozi wake yupo tayari kukiunga mkono mladi tu kinampa faida kisiasa.
Hayo ni maoni yangu sio lazima yafanane na yako.
1: Ni mr negative, yani kwake yeye Tanzania haikuwahi kufanya jambo zuri hata siku moja. Tangu Uhuru hadi leo Tanzania haina jema hata moja kwake. Yaani kwake Tanzania imefeli kila kitu.
2: Anajua Sheria kuliko watanzania wote walio wahi kusoma na waliopo kwenye taaluma hiyo. Majaji, mahakimu, mawakili n.k wote kwake ni mambumbumbu tu wasiojua kitu kwenye sheria.
3: Yeye ndio msomi peke yake Tanzania nzima, walio baki wote ni vilaza kuanzia walimu wake walio mfundisha hadi viongozi wenzake alio nao chamani. Kwakifupi kwamba yeye ndio msomi pekee hapa Tanzania na ana fani na taaluma zote kabisa hajakosa hata moja.
4: Tanzania haikuwahi kuwa na kiongozi bora tangu Uhuru kuanzia baba wa Taifa ( ambaye kwake ni muuaji na ni mkolini aliye kalia Zanzibar kimabavu) hadi hawa viongozi wa sasa. Yaani ngazi zote kuanzia Marais wote hadi Wajumbe wa nyumba kumi wato kwake yeye ni takataka.
5:Ni mtu aliye tayari kutetea na kuunga mkono chochote ili mladi tu kinaisema vibaya Tanzania.
Yaani chochote kile kinachoweza kutumika kushambulia Tanzania na viongozi wake yupo tayari kukiunga mkono mladi tu kinampa faida kisiasa.
Hayo ni maoni yangu sio lazima yafanane na yako.
Dk Salimin Amour amepigwa upofu na Mwenyezi Mungu kutokana na utawala wake wa kidhalimu, kuzuia haki za maelfu ya Wapemba kuishi. Ukimsikiliza jiwe na kufuatilia matendo yake, anaonekana kuifuata njia ile ile.1: Ni mr negative, yani kwake yeye Tanzania haikuwahi kufanya jambo zuri hata siku moja. Tangu Uhuru hadi leo Tanzania haina jema hata moja kwake. Yaani kwake Tanzania imefeli kila kitu.