Achana na hilo bwege!Ya uchaguzi wa Lema Arusha mjini na wa Bunda mjini kwa Ester Bulaya ..nikuongezee???
Achana na hilo bwege!Ya uchaguzi wa Lema Arusha mjini na wa Bunda mjini kwa Ester Bulaya ..nikuongezee???
Mini naomba nikujibu moja tu la Tanzania haijafanya kitu nikweli kabisa Tanzania haijafanya kitu kwani kila uchaguzi uwemdogo aumkuu kwa nchi nzima amna ahadi zingine ni1: Ni mr negative, yani kwake yeye Tanzania haikuwahi kufanya jambo zuri hata siku moja. Tangu Uhuru hadi leo Tanzania haina jema hata moja kwake. Yaani kwake Tanzania imefeli kila kitu.
2: Anajua Sheria kuliko watanzania wote walio wahi kusoma na waliopo kwenye taaluma hiyo. Majaji, mahakimu, mawakili n.k wote kwake ni mambumbumbu tu wasiojua kitu kwenye sheria.
3: Yeye ndio msomi peke yake Tanzania nzima, walio baki wote ni vilaza kuanzia walimu wake walio mfundisha hadi viongozi wenzake alio nao chamani. Kwakifupi kwamba yeye ndio msomi pekee hapa Tanzania na ana fani na taaluma zote kabisa hajakosa hata moja.
4: Tanzania haikuwahi kuwa na kiongozi bora tangu Uhuru kuanzia baba wa Taifa ( ambaye kwake ni muuaji na ni mkolini aliye kalia Zanzibar kimabavu) hadi hawa viongozi wa sasa. Yaani ngazi zote kuanzia Marais wote hadi Wajumbe wa nyumba kumi wato kwake yeye ni takataka.
5:Ni mtu aliye tayari kutetea na kuunga mkono chochote ili mladi tu kinaisema vibaya Tanzania.
Yaani chochote kile kinachoweza kutumika kushambulia Tanzania na viongozi wake yupo tayari kukiunga mkono mladi tu kinampa faida kisiasa.
Hayo ni maoni yangu sio lazima yafanane na yako.
hahaaaa! labda ya kutetea ushogaKamanda nitajie hata case mbili alizo shinda tundu lissu
Wewe ni kijana mdogo sana katika ustawi wa Tanzania, acha kukariri historia ya kwenye vitabu.Lissu anawaeleza watanzania ukweli mchungu na ambao msingependa watu waelezwe.
Ukatili,dhuluma, uonevu na unyanyasaji ndio sifa kuu za awamu hii na ambazo Lissu anazilaani majukwaani huku wananchi wanamshangilia.
Tulieni muelezwe ukweli.
No sense1.kweli kabisa Tangu uhuru hatunafanya kitu chochote maadui wetu waliotangazwa 58 wotewanazidi kuongezeka kwa kasi.
Umasikini unakua sana.
Ujinga usiseme.
Magonjwa ndio kwao maralia kipindupindu typhod nk.
2.Hakika Lissu anajua sheria kuliko watu wote Tanzania amefanya kazi na mashirika makubwa na Taasisi za level ya kidunia.
Ameshinda kesi nyingi sana more than 98%
3. Lissu ni Msomi na mbobezi mkubwa sana wa masuala ya sheria na Ishu zote mtambuka
4. Hakuna jambo wala sekta Yoyote tunayoweza kujivunia, wala hakuna taasisi yoyote tunayoweza kusema imefanya vizuri kwa miaka 60 sasa woote waliharibu sana.
Na marais wengi wa Tanzania sio wanaochaguliwa na wananchi kwenye Kura.
5. Mi nimemuona akiomba mijadala ya kitaifa akishauri na kuonya mambo mengi ya kitaifa.
Ni mtazamo wangu.
Wewe ni kijana mdogo sana katika ustawi wa Tanzania, acha kukariri historia ya kwenye vitabu.
Kwenye uovuHebu nikuulize, unafanya jema 1 alafu mabaya 10. Kwenye probability unaangukia wapi?
Hujamuelewa Lissu. Lissu sio mwana ccm, Lissu sio mwoga, Lissu sio mnafiki.1: Ni mr negative, yani kwake yeye Tanzania haikuwahi kufanya jambo zuri hata siku moja. Tangu Uhuru hadi leo Tanzania haina jema hata moja kwake. Yaani kwake Tanzania imefeli kila kitu.
2: Anajua Sheria kuliko watanzania wote walio wahi kusoma na waliopo kwenye taaluma hiyo. Majaji, mahakimu, mawakili n.k wote kwake ni mambumbumbu tu wasiojua kitu kwenye sheria.
3: Yeye ndio msomi peke yake Tanzania nzima, walio baki wote ni vilaza kuanzia walimu wake walio mfundisha hadi viongozi wenzake alio nao chamani. Kwakifupi kwamba yeye ndio msomi pekee hapa Tanzania na ana fani na taaluma zote kabisa hajakosa hata moja.
4: Tanzania haikuwahi kuwa na kiongozi bora tangu Uhuru kuanzia baba wa Taifa ( ambaye kwake ni muuaji na ni mkolini aliye kalia Zanzibar kimabavu) hadi hawa viongozi wa sasa. Yaani ngazi zote kuanzia Marais wote hadi Wajumbe wa nyumba kumi wato kwake yeye ni takataka.
5:Ni mtu aliye tayari kutetea na kuunga mkono chochote ili mladi tu kinaisema vibaya Tanzania.
Yaani chochote kile kinachoweza kutumika kushambulia Tanzania na viongozi wake yupo tayari kukiunga mkono mladi tu kinampa faida kisiasa.
Hayo ni maoni yangu sio lazima yafanane na yako.
Wewe unasoma na kufuatilia mambo ya nchi hii ?Wewe unasumbuliwa na mambo mawili, kwanza hutaki kuujua ukweli kuhusu Tanzania kupitia kusoma na kujielimisha na pili ukiambiwa ukweli na wanaojua pia hutaki. Lissu ni mtu anayesoma na kufuatilia mambo ya nchi hii sana na hivyo anayafahamu kweli kweli, ndiyo maana majuzi kule visiwani alitoa darasa tosha na hakuna hata mmoja aliyemzomea au kumpinga. Mwisho wewe pia umezoea kudanganywa sanaa.
Ana kauli yake ya kuita ccm kuwa maccm..wakati hata huyo mbowe aliyemfundisha siasa hajawahi kuita wanaccm maccm.Hii nayo pia ni moja ya sifa yake muhimu.
Ukweli kuwa Nyerere alikalia Zanzibar ki mabavu?Lissu anawaeleza watanzania ukweli mchungu na ambao msingependa watu waelezwe.
Ukatili,dhuluma, uonevu na unyanyasaji ndio sifa kuu za awamu hii na ambazo Lissu anazilaani majukwaani huku wananchi wanamshangilia.
Tulieni muelezwe ukweli.
Kipimo Cha upeo mkubwa wa kufikiri ni kukubaliana tu na Lissu kwa kila akisemacho?Ukiwa na upeo mdogo wa kufikiria mambo huwezi kumuelewa kabisa TAL, Na utakua unayabeba maneno yake bila kuchakata ubongo kama alivyo mtoa post.
Lisu ni mwanasheria wa kawaida Sana , huko kwenye korido za mahakama ila akiwa Chadema anawadanganya yeye ndio bora.1.kweli kabisa Tangu uhuru hatunafanya kitu chochote maadui wetu waliotangazwa 58 wotewanazidi kuongezeka kwa kasi.
Umasikini unakua sana.
Ujinga usiseme.
Magonjwa ndio kwao maralia kipindupindu typhod nk.
2.Hakika Lissu anajua sheria kuliko watu wote Tanzania amefanya kazi na mashirika makubwa na Taasisi za level ya kidunia.
Ameshinda kesi nyingi sana more than 98%
3. Lissu ni Msomi na mbobezi mkubwa sana wa masuala ya sheria na Ishu zote mtambuka
4. Hakuna jambo wala sekta Yoyote tunayoweza kujivunia, wala hakuna taasisi yoyote tunayoweza kusema imefanya vizuri kwa miaka 60 sasa woote waliharibu sana.
Na marais wengi wa Tanzania sio wanaochaguliwa na wananchi kwenye Kura.
5. Mi nimemuona akiomba mijadala ya kitaifa akishauri na kuonya mambo mengi ya kitaifa.
Ni mtazamo wangu.
Wewe unasumbuliwa na mambo mawili, kwanza hutaki kuujua ukweli kuhusu Tanzania kupitia kusoma na kujielimisha na pili ukiambiwa ukweli na wanaojua pia hutaki. Lissu ni mtu anayesoma na kufuatilia mambo ya nchi hii sana na hivyo anayafahamu kweli kweli, ndiyo maana majuzi kule visiwani alitoa darasa tosha na hakuna hata mmoja aliyemzomea au kumpinga. Mwisho wewe pia umezoea kudanganywa sanaa.