mfyayukulela
Senior Member
- May 30, 2017
- 167
- 234
Nakutakia mchana mwema!Haaaa haaa haaa mbavu zangu mimi 2020 hii hapa imeshafika
Mmmmmh, kwani lengo hasa la sarakasi zote hizi ni nini, kukomoana au?
Mimi nilidhani wangesema ukimsajilia mtu kisha akatenda kosa la jinai kwa kutumia hiyo simu ndio jela itakuita, ila kumsajilia tu? Kwani kuna nini nyuma ya pazia na huu usajili hivi?
Kwamadai Nilio sikia Lkn Sina Uhakika Nayo Nikwamba
Hawaruhusu kuwa na Line Zaidi Ya Moja
Katika Mtandao Mmoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna tatizo lolote.. Mtandao mmoja mwisho line 5. Kwahiyo mtu mmoja anaweza miliki line zaidi ya 20!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchuma janga hula na wakwaoHivi wale waswahili wa kusema kizuri kula na nduguyo,mbona hawakutoa ufafanuzi kuhusu kibaya ule na Nani..?
Pole mfungwa wa watu😜😂
Vodacom nina tatu, na zote walisajili.Kwamadai Nilio sikia Lkn Sina Uhakika Nayo Nikwamba
Hawaruhusu kuwa na Line Zaidi Ya Moja
Katika Mtandao Mmoja.
Sent using Jamii Forums mobile app