Ukimsajilia mtu line jela inakuita

Ukimsajilia mtu line jela inakuita

Mzazi Hawezi Acha Mwanae Asipatikane wakati Ndio Anamtegemea Sometimes
Atafute Amtumie mama

Ndio ivyo Kahangaika Kupata KITAMBULISHO kakosa hata Number Imekuwa shida

Mama aache Mwanae Asipatikane au Baba
Sahau.
Wakawatishe wake zao.. nchi ni ya kwetu hii.

Jishindwe kumsajilia mtoto wangu.

Akili matope

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Number za gari au Zanini Mr.

Ieleweke Hakuna Mtu Anae taka Shida na Serikali Au Kuvunja Sheria Tatizo Lipo huko huko

Mtu Kahangaika Kupanga Foleni na Viambatanishi Vyote Mara Siku ukienda unaambiwa
Maelezo Yako Hayapo ivyo anza upya.

Ukicheki mtu Muajiriwa Analazimika Kupambania Nida au Ugali Wawanae??
Acha kujiogopesha,kasajiri laini kwa namba yako,tcra wanannia njema kwa watanzania tuwaunge mkono

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hakuna umuhimu acha kusajili
Number za gari au Zanini Mr.

Ieleweke Hakuna Mtu Anae taka Shida na Serikali Au Kuvunja Sheria Tatizo Lipo huko huko

Mtu Kahangaika Kupanga Foleni na Viambatanishi Vyote Mara Siku ukienda unaambiwa
Maelezo Yako Hayapo ivyo anza upya.

Ukicheki mtu Muajiriwa Analazimika Kupambania Nida au Ugali Wawanae??

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmmmh, kwani lengo hasa la sarakasi zote hizi ni nini, kukomoana au?

Mimi nilidhani wangesema ukimsajilia mtu kisha akatenda kosa la jinai kwa kutumia hiyo simu ndio jela itakuita, ila kumsajilia tu? Kwani kuna nini nyuma ya pazia na huu usajili hivi?

Kama vile zoezi hili lipo kuikwamisha TRA kupata kodi ( VAT) inayopatikana kwa kununua muda wa maongezi.,
Taz.
Mchanganuo wa Tsh 500 ya muda wa maongezi ni:
Gharama Tsh 423.73
VAT : Tsh 67.27
Jumla : Tsh 500.00
Utasema
Tsh 67.27 ni kitu gani kwa TRA/Serikali ?
Hebu fikiria kwa uchache 1000000 subcribers/day
 
Hii tcra mpaka tutaishinda akili tu sema wananchi hatuna ushirikiano tunapelekwa Kama nyumbu!
 
Je, ikibainika mtu ameomba namba ya NIDA tangu mwaka jana mpaka leo hajaipata mnamchukulia hatua gani?
 
Sijaelewa mfano Kuna watoto wadogo chini ya miaka 18 ambao wanasoma shule za mbali na hawawezi sajili vitambulisho vya NIDA sababu hawajafikia umri wa kusajili inakuwaje ?

Hawahitaji kusajiliwa Simu na wazazi wao?

Mkuu umesahau pia kuwa umri wa mtoto wa kike kuolewa bado kisheria haujafikia miaka 18 ya kupata kitambulisho cha NIDA hivyo kutakuwepo na wake wengine wasioruhusiwa kumiliki simu
 
Back
Top Bottom