Ukimpa mwanamke mimba ni lazima umuoe?

Ni laana kubwa kama huamini fatilia watu wanaume wengi waliofanya hivyo walikutwa na nini halafu kesho njoo uniambie umegungua nini
 
Me sikubaligi aisee... Hapo wengine sijui kwa nin?
Kuna mengi sana kwenye mahusiano. ila sijui kwa nini wanaume wengi wanakimbia majukumu kama mimba ni yako means mtoto ni wako kwa nini usimpe huduma sitahiki kwa sababu kuna leo na kesho.
 
Kuna mengi sana kwenye mahusiano. ila sijui kwa nini wanaume wengi wanakimbia majukumu kama mimba ni yako means mtoto ni wako kwa nini usimpe huduma sitahiki kwa sababu kuna leo na kesho.
Wa nasubiria mpaka mtoto afanikiwe ndiyo watake awe wake ..
 
Kuna wanawake Wa kuwazalisha tu....na pia kuna wanawake Wa kuoa...mpka hapo hakuna ulazima Wa uliempa mimba kumuoa
 
Back
Top Bottom