Ukimpa mwanamke mimba ni lazima umuoe?

Ukimpa mwanamke mimba ni lazima umuoe?

Na kwann upige kavu kavu ad ifikie hatua ya kumpa mimba?
 
Mkiokota wote kuni porini sio lazima mzoe majivu pamoja
 
mzinifu na mzinifu mwenzake, mshirikina na mshirikina mwenzake
 
Inategemea ulivyompa,kama ulimkopesha inabidi akulipe!
 
Sio lazima umuoe ila utakuwa umeamua kutesa kiumbe kisichohusika na raha zenu. Yaani kwenu ilikuwa raha kwake inakuwa mateso, kukosa tu malezi ya upande mmoja ni dhulma dhidi ya mtoto, kulelewa na mama wa kambo ni mateso kwa mtoto, kuwa mtoto wa mitaani ni zaidi ya mateso hapa duniani, huko atafanyiwa kila ukatili hasa kulawitiwa au kubakwa huku baba upo na mke mwingine mnapambana kukojozana mpate watoto mlee familia.
 
Unampa mimba halafu umuachie nani? Honestly mimi kama mwanaume nachukia sana pale mwanaume mwenzangu anapomchukulia mwanamke kama bidhaa (commodity). Sio sahihi kufanya "fish and throw" game kwa wanawake. Tunawasababishia maumivu na athari nyingi sana kwenye maisha yao baada ya kuwatelekeza bila sababu za msingi. Halafu sisi wanaume ndio tunaokuja tena hapa na kusema "kaa mbali na single mothers". Kama huna mpango wa kumuoa mwanamke kwanini msichukue hatua sahihi za kuhakikisha mimba haiingii???
 
Ndio. Ni lazima
mimi ninavyojua sisi mabachela tulio wengi tupo ktk mahusiano ambayo mara nyingi huwa ni ya kufarijiana na kutoana haja za kimwili tu but inavyokuja issue ya kumuoa baada ya kumpa mimba mara nyingi sababu kadhaa ikiwamo ya kutokujipanga inatokea
 
Wakati unakojoa oooh we mtamu huku ukitoa cha ujazo kwa kusukuma pumzi kwa nguvu .. Unataka nani amuoe sasa?
ejaculation is constant when ure in a sexual intercourse to a perfect man,,,lakini me najua inapokuja issue ya kumuoa baada kumpa mimba huwa mara nyingi ni changamoto kwa vijana walio wengi,,,,ila me ntamuoa tu endapo nikimpa mimba mwanamke
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom