Ni kwanini ukimpa attention unampoteza na ukimnyima anakuona una beep?

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,850
Habari ya usiku wakuu wangu.

Najiuliza sana ni kwanini ukimpa mwanamke attention kipindi cha mitongozano unampoteza kirahisi sana na humpati wala hakupi majibu ya kueleweka.

Mbaya zadi nafikiria wanawake wanapenda attention na ukimnyima attention kipindi unamtongoza anakuona tena haupo serious.

Shida yao ni nini hasa inayo wafanya wanakua hivi wakuu , karibuni tujadili kuokoa vijana.
 
Mkuu mimi kuna mmoja tulikutana maeneo tukawa washkaj tu but nilitaka kumpa atention akawa kama anakwepa nikaachana nae hata kumtongoza nikapotezea saiz yeye ndio anaanza kulalamika kuwa sijiongez wakat nilimpa muda akazingua
 
Hivi viumbe kuvielewa ni changamoto. Kuna mmoja alanianza mimi tutawa marafiki sasa ikafika stages nikatupa nyavu, na ndio ilikuwa mwisho wa mimi na yeye hata kuwasiliana
Ujue we ndo ulikosea, usitengeneze.urafiki na mwanamke unayempenda, tengeneza urafiki ndani ya mahusiano tu.

Unamuambia unampenda from the first time, hapo anajua uko serious. Akikukataa alafu akakuambia muwe marafiki, achana naye piga block na kama ulikuwa unamsaidia mawazo chanya na vitu vingine kata mawasiliano, tafuta mwingine.

Mwanaume ni predator, sasa wengi mna prey mentality lazima mliwe.
 
Ndugu yangu, mimi wanawake nilisha kata tamaa nao japo nawapenda sana, maana juu chini siwezi kuishi bila mwanamke mimi wa kunipa mikikimikiki, Ila tatizo ndiyo sijui wanatakaga nini ili watulie.

Kwahiyo wewe mwenyewe angalia umpe attention au umnyime attention au vyote kwa pamoja.

Wanawake ni viumbe wazuri ila hawajawahi kueleweka kabisa.
 
Sababu.
Yes
Women love attention
They feed on your attention to boost their Ego.

Mkuu hivi unajua attention ni kitu senstive sana. Unataka kujua kwann usipompa attention anakuwa attracted toward you?

From now on usithubutu kumpa mtu attention yako for free.
 
Ndugu yangu, mimi wanawake nilisha kata tamaa nao japo nawapenda sana, maana juu chini siwezi kuishi bila mwanamke mimi wa kunipa mikikimikiki, Ila tatizo ndiyo sijui wanatakaga nini ili watulie.

Kwahiyo wewe mwenyewe angalia umpe attention au umnyime attention au vyote kwa pamoja.

Wanawake ni viumbe wazuri ila hawajawahi kueleweka kabisa.
Sure
Nakubaliana nawewe brother.

Mimi huwa najiuliza hili swali kwanza.
"does she worth my attention?"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom