Kumpa hela / matunzo mwanamke ambaye hujamuoa ni sawa au sio sawa?

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Salaam sana.

1: Je, ni sahihi kumpa hela pamoja na matunzo mwanamke ambaye hujamuoa kabisa kwa kisingizio cha uchumba kuwa wanadai matunzo na vihela vidogo vidogo?

2: Je , ni halali kumpa 50,000/= kila mwezi mwanamke kama hela za kumtunza ilihali wazazi wake wote wapo na pia ukizingatia kwa mwezi unaweza ukanyandua hata mara moja au usinyandue kabisa.?

3: Je, ni halali kuchukua maamuzi ya kumwacha mwanamke ambaye unampa 50,000/= kwa mwezi na bado anapiga mizinga na shukrani hana huku akidai humpi matunzo ya kutosha kama kumjazia gesi, kumnunulia simu, hela za matibabu, mavazi ya aina zote kwa namna zake, kusuka, kula na hata vijisenti ili hali wazazi wake wote wapo hai na bado wanampa kwa usawa wao?

4: kama kweli mwanamke anayekupenda hakuombi hela je, ufanye nini kujua kama yeye ni mwanamke sahihi au si sahihi au kama kuna majamaa wana muhonga ilhali yeye haonyeshi kuwa na time na wewe kwenye mawasiliano na siyo mwingeaji ila mkiwa ana kwa ana anaonyesha ushirikiano na yupo teyari umuoe?
 
Pole sana mkuu,

acha mara moja iwezekanavyo na piga chini huyo mwanamke anza upya, mwanamke unayepaswa kumuhudumia ni yule uliye muoa , mnaishi nae pamoja ndani na amekuzalia watoto na kama kazaa watoto mkaachana hudumia watoto tuu na siyo vinginevyo

Wanawake hawana shukrani
 
Salaam sana.

1: Je, ni sahihi kumpa hela pamoja na matunzo mwanamke ambaye hujamuoa kabisa kwa kisingizio cha uchumba kuwa wanadai matunzo na vihela vidogo vidogo.?

2: Je , ni halali kumpa 50,000/= kila mwezi mwanamke kama hela za kumtunza ilihali wazazi wake wote wapo na pia ukizingatia kwa mwezi unaweza ukanyandua hata mara moja au usinyandue kabisa. ?

3: Je, ni halali kuchukua maamuzi ya kumwacha mwanamke ambaye unampa 50,000/= kwa mwezi na bado anapiga mizinga na shukrani hana huku akidai humpi matunzo ya kutosha kama kumjazia gesi, kumnunulia simu, hela za matibabu, mavazi ya aina zote kwa namna zake, kusuka, kula na hata vijisenti ili hali wazazi wake wote wapo hai na bado wanampa kwa usawa wao?

4: kama kweli mwanamke anayekupenda hakuombi hela je, ufanye nini kujua kama yeye ni mwanamke sahihi au si sahihi au kama kuna majamaa wana muhonga ilhali yeye haonyeshi kuwa na time na wewe kwenye mawasiliano na siyo mwingeaji ila mkiwa ana kwa ana anaonyesha ushirikiano na yupo teyari umuoe?
Je ni sawa kuifanyia service gari ambayo sio yako? Uber/ Bolt unaweza ifanyia service?
 
Kama una mipango ya KUMUOA kweli.

Gharamia huyo Mwanamke, kuna raha sana ya kugharamia Mwanamke wako hasa hizi bills... unafeel uanaume ndani yako in a real world.

But uwe very sensitive akikosea mistake ya kukucheat usivumilie hata punje PIGA CHINI.
 
Kama hakupi kipochi manyoya sio sawa , ila kama unapewa lipia na hudumia kadri uwezavyo, ila usijenge kibanda.
 
Salaam sana.

1: Je, ni sahihi kumpa hela pamoja na matunzo mwanamke ambaye hujamuoa kabisa kwa kisingizio cha uchumba kuwa wanadai matunzo na vihela vidogo vidogo?

2: Je , ni halali kumpa 50,000/= kila mwezi mwanamke kama hela za kumtunza ilihali wazazi wake wote wapo na pia ukizingatia kwa mwezi unaweza ukanyandua hata mara moja au usinyandue kabisa.?

3: Je, ni halali kuchukua maamuzi ya kumwacha mwanamke ambaye unampa 50,000/= kwa mwezi na bado anapiga mizinga na shukrani hana huku akidai humpi matunzo ya kutosha kama kumjazia gesi, kumnunulia simu, hela za matibabu, mavazi ya aina zote kwa namna zake, kusuka, kula na hata vijisenti ili hali wazazi wake wote wapo hai na bado wanampa kwa usawa wao?

4: kama kweli mwanamke anayekupenda hakuombi hela je, ufanye nini kujua kama yeye ni mwanamke sahihi au si sahihi au kama kuna majamaa wana muhonga ilhali yeye haonyeshi kuwa na time na wewe kwenye mawasiliano na siyo mwingeaji ila mkiwa ana kwa ana anaonyesha ushirikiano na yupo teyari umuoe?

Halafu unakuta mama yako mzazi anaomba hela au mahitaji zinaanza dana dana, au yupo huko kijijini wanaishi maisha magumu na ya mashaka makubwa. Ujumbe wangu tunapofikiria haya tusisahau wazee wetu maana ni tunu.
 
Back
Top Bottom