Ukimpa mwanamke mimba ni lazima umuoe?

Ukimpa mwanamke mimba ni lazima umuoe?

ivi ni kweli mwanamke ukimpa mimba ni lazima umuoe?
Sio lazima ila kwa tahadhari tu km unataka huyo mtoto atakayezaliwa awe na malezi mazuri ni vizuri ukamuoa kwasababu malezi mazuri ni yale ya baba na mama mzazi..!
 
ivi ni kweli mwanamke ukimpa mimba ni lazima umuoe?
Inategemea na vitu viwili:-

1) Makubaliano yako na huyo uliyempa/unayempa mimba mlikubaliana vipi. Kama alikuambia umpe mimba tu na haitaji ndoa nawewe basi you are safe.

2) Roho yako binafsi, kama wewe una roho nzuri ya utu utamwoa au kama ni roho mbaya ya kinyama/kishetani basi utamtelekeza.
 
Sijui taratibu zenu huko Dar
Sisi huku Kyela huwa tunawapa tu mimba
Wala hamna ndoa na hamna noma

Njoo huku mkuu ufaidi
 
Zamani zile ilikuwa posa kwanza kisha mahari kisha ndoa halafu mimba tena ndani ya miezi michache ya mwanzo unasikia ndoa imejibu

siku hizi mama yangu weee mnakutana barabarani Kisha mnaongezana kwenye mchezo wa 6x6 / chumbani kwanza , Kisha baada ya mchezo mnaulizana majina yenu, kisha mnapotoka ili kila mtu arudi kwao mnapeana namba za simu Kama gemu ilikuwa powa mnapeana namba za simu za ukweli Kama game ilikuwa ovyo mnapeana namba feki [emoji12][emoji12] mimba ikitokea hapo mnakuja JF kuomba ushauri wa kuoa Kama hivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dunia imebakia kama kipisi cha sigara kweli nawaambia


Ushauri wangu usimuoe muache tu azae uone mtoto mimba nyingi siku hizi za kichina "short life span" zinadumu miezi mitatu ya mwazoni Kisha hutoweka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndiyo lazima umuoe.. ili uwe baba wa mtoto wako.. na mume wa mke wako..
 
oooooooohhhhh.....sasa kwanini alinikubali kama mi mwanaume wa ovyo
Kuna zile za bahati mbaya like wote mpo higher mnaamka asubuhi mnaangaliana...mnashindwa kuilewa ilikuaje...ye anakwambia sahau kilichotokea kumbe amepata na ujauzito hapohapo 🙂🙂🙂🙂
 
Kwanini umpe mimba wakati humuoi? Uzae nae afu aoe mwingine mmh
 
sio lazima
ila akizaa utampa million20
ya usumbufu

chagua moja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom