Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,787
- 45,248
😀😀😀 nisamehe bro.Sirudii tena.
😀😀😀 nisamehe bro.Sirudii tena.
Usiahangaike mkuu wewe mpe pesa tu akitoka pesa akakikaa pesa akilala pesaHabari wakuu,
Msinielewe vibaya na hiyo heading,nimekaa nimefikiria sana kuhusu kuboresha maenzi na hawa wanawake,kwa uzoefu wangu mdogo nilionao nimegundua kuna vitu vinapuuzwa ila vikifanywa,mwanamke anafurahi kwakua inakua very romantic,nakupa mfano,binafsi nilikua napenda sana misosi mitamu so nikajifunza kupika vyakula mbalimbali,hivyo ninapokua na mpenzi napenda kumpikia na kumuandalia kila kitu on the table,hiki kitendo huwa naona kabisa mwanamke anafurahia sana,na kuna vitu vingi vimezoeleka mwanaume ndo afanyiwe ila ukifanya kinyume na ukamfanyia mwanamke anafurahi,mfano ukimfulia anafurahi,badala ya yeye kubeba vitu vyako ukambebea mkoba anafurahi,badala ya yeye kukufunga kama za viatu mfunge yeye kiatu chake inakua romantic ndomana unaona vipicha vya mwanaume kumfunga kamba za viatu mwanamke vinazagaa sana kwasababu it looks ROMANTIC.
-Anko Jei
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilijua kinyume na maumbile, fala weh
ndiooooWewe unaosha vyombo, unapiga deki, unapika, unafua nguo na yeye ameweka miguu juu anaangalia TV ndiyo kumtemreat vizuri?
ndiooooWewe unaosha vyombo, unapiga deki, unapika, unafua nguo na yeye ameweka miguu juu anaangalia TV ndiyo kumtemreat vizuri?
Labda akiuumwa, lakini mzima kabisa yani nianze kuosha vyombo, nipike, nifue, nipige deki huu yeye amekaa hii akili itakua sio ya mwanaume, labda mwanaume wa dar.ndioooo
nimecheka Sana daaa et kuruka ukuta😂😂Kitu pekee cha kumfanyia mkeo ni kumkaza. Akihitaji hata umruke ukuta wewe ruka
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilielewa anamaanisha kinyume kwenye lile tendo pendwaHiyo heading ilinipa mawazo yenye ukakasi
Hapana sio umume bwege inategemea ni kwa kiwango gani anamfanyia hivyo mpenzi wake na ikiwa anafanya hivyo kwa hiari kabisa na sio kulazimishwa.Umume bwege huwa unaanza hivi hivi mdogo mdogo