Mwanaume ukimhudumia mwanamke mapenzi yanakuwa matamu sana

Si unajua kitu ukiwa unakipenda 😋😋😋unataka saa zote ukipate kama inawezekana sasa mikwara ikianza ndiyo mwanzo wa penzi kwenda kombo. Unataka kila saa unadhani pipi hii, si nilikupa jana na leo tena unataka, nimechoka, siji kwako nikija tu najua utaninahii? 🙉

Huhuuu, haya rafiki bana ntajitahidi nisinenepee kumbe kuna safari hivo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umume bwege huwa unaanza hivi hivi mdogo mdogo
Ahahaha, ee bwana kuna mzee mmoja huko kwetu kwenye makabila ya wafugaji alijifanya Romantic, akawa anamsaidia mke wake kugandisha maziwa kutengeneza samli kupitia kibuyu, kwa jamii yetu hiyo imezoeleka kuwa ni kazi ya mke.. ila mume hufanya kumsave mkewe.. ee bwana hio siku Mume alitembelewa na wageni wake.. wakawa wamekaa nje.. Mara Mke anafika Nje na kumwambai "Njoo gandisha maziwa au umesahau kazi yako??" imagine aibu alopata mwamba mbele ya wazee wenzake!

Don't be too Romantic!
 
Yaap
Habari wakuu,

Msinielewe vibaya na hiyo heading,nimekaa nimefikiria sana kuhusu kuboresha maenzi na hawa wanawake,kwa uzoefu wangu mdogo nilionao nimegundua kuna vitu vinapuuzwa ila vikifanywa,mwanamke anafurahi kwakua inakua very romantic,nakupa mfano,binafsi nilikua napenda sana misosi mitamu so nikajifunza kupika vyakula mbalimbali,hivyo ninapokua na mpenzi napenda kumpikia na kumuandalia kila kitu on the table,hiki kitendo huwa naona kabisa mwanamke anafurahia sana,na kuna vitu vingi vimezoeleka mwanaume ndo afanyiwe ila ukifanya kinyume na ukamfanyia mwanamke anafurahi,mfano ukimfulia anafurahi,badala ya yeye kubeba vitu vyako ukambebea mkoba anafurahi,badala ya yeye kukufunga kama za viatu mfunge yeye kiatu chake inakua romantic ndomana unaona vipicha vya mwanaume kumfunga kamba za viatu mwanamke vinazagaa sana kwasababu it looks ROMANTIC.

-Anko Jei

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi kwa upande "unitie" hadi iwake moto ndio raha yangu, mengine sina shida nayo, mkoba wangu nitabeba mwenyewe hata kupika nitapika tu:rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes:
 
You see bro ofcourse i had a point kumzoesha hujenga tabia. Tunawapenda ila kuna mambo hapana aise

Happiness is a lifestyle
 
Sasa mkuu kwani kama mnapendana kuwa consistency utashindwaje? Ni jambo dogo tu labda uhamishie kujali kwa mwingine ndipo mambo yataharibika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukishakua consistently unataka kujua kitatokea nini hahaha usiombe aisee tegemea karaha, tabu, dharau, kejeli masimango na kutumia mdomo wake vibaya hakika mtagombana sana mkishafikia huko

Happiness is a lifestyle
 
Mimi kwa upande "unitie" hadi iwake moto ndio raha yangu, mengine sina shida nayo, mkoba wangu nitabeba mwenyewe hata kupika nitapika tu:rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes:
Unapenda dudu wewe... Halafu asilimia kubwa ya wadada wanaopenda mgegedo huwa mara nyingi ndoa zao hudumu sana, maana unampa mumeo kitu roho inapenda na hapo mume atakupenda mno

Happiness is a lifestyle
 
Habari wakuu,

Msinielewe vibaya na hiyo heading,nimekaa nimefikiria sana kuhusu kuboresha maenzi na hawa wanawake,kwa uzoefu wangu mdogo nilionao nimegundua kuna vitu vinapuuzwa ila vikifanywa,mwanamke anafurahi kwakua inakua very romantic,nakupa mfano,binafsi nilikua napenda sana misosi mitamu so nikajifunza kupika vyakula mbalimbali,hivyo ninapokua na mpenzi napenda kumpikia na kumuandalia kila kitu on the table,hiki kitendo huwa naona kabisa mwanamke anafurahia sana,na kuna vitu vingi vimezoeleka mwanaume ndo afanyiwe ila ukifanya kinyume na ukamfanyia mwanamke anafurahi,mfano ukimfulia anafurahi,badala ya yeye kubeba vitu vyako ukambebea mkoba anafurahi,badala ya yeye kukufunga kama za viatu mfunge yeye kiatu chake inakua romantic ndomana unaona vipicha vya mwanaume kumfunga kamba za viatu mwanamke vinazagaa sana kwasababu it looks ROMANTIC.

-Anko Jei

Sent using Jamii Forums mobile app
hii ni nzuri ila shida inaweza kuja pale utakapoanza kuwa very consistent kwenye haya majukumu......i mean utapokuwa very consistently inconsistent!
 
Eee mungu baba, nakuomba nisiwe mwanaume wa hivyo,,,

maanatu mim kwetu nimkoani tena ndanindani kule hata mwanamke kufungwa kamba za viatu haijawahi kutokea labdatu mwanaume uwe umepewa limbwata!!!

Ee mungu baba nazidi kukuomba mke atakaye nipenda vivyohivyo na ujingawangu,
ila pia nakuomba niwe mwanaume mwenye kutumia akili sana kuishi na mwanamke ili isitokee hata sikumoja ajekua juuyangu, eemungu baba sikia maombi yangu haaaata sikumoja nisije kua na elements za mwanaume wa dar
maana kwetu sisi mkoani mwanaume ndio mlizi wa familia, ila sio muosha vyombo na kufua nguo au kupika kwasababu tu hizikazi ni jukum la mwanamke labdatu pale anapokua anaumwa ndo husaidiwa,

ee mungu baba naziiidi kukemea pepo la kukosa kazi za kufanya na kuendekeza uzembe mpaka namfunga mwanamke kamba za viatu linitoke maana ninazo kazi nyingi za kufanya zinanisubiria,,,,

laziadatu nizidu kuomba busara, amani, afyanjema na upendo kwa mkewangu hadi kwa jamii kiujumla.... amen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom