Mwanaume ukimhudumia mwanamke mapenzi yanakuwa matamu sana

Tatizo la wanawake.....ukianza ndo wanakuachia hivyoooo inakuwa ndo ratiba yako
mkuu mushi kuna siku ilikuwa jumapili , nlienda kumsalimia , kipenzi changu kwao , mida ya saa nne alikuwa ameanza kufua basi kidume nkamwambia wacha nikusaidie nkafua nguo kama 5 hv, nkamnawisha na miguu sasa hivi karibu kila siku anaulizia lini tena na me nduki sionekani najifanya mr majukumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani kama humu kuna mwanamke anapenda kufanyiwa kinyume, tafadhali tuwasiliane!!

kutoka: 22D Arnold st.
 
Hapana sio umume bwege inategemea ni kwa kiwango gani anamfanyia hivyo mpenzi wake na ikiwa anafanya hivyo kwa hiari kabisa na sio kulazimishwa.
Mkuu kwa umri wangu, nawajua sana wanawake... Unaweza ukawa na good intention ila sasa itakufanya iwe ratiba yako, mwanamke haitazami hiyo kama umefanya kwa mapenzi ila ni kama wajibu wako, usijidanganye ndugu yangu bado hujawajua wanawake tulia hivyo hivyo

Happiness is a lifestyle
 
Ukiwa na subira zamu yako nawe kudekezwa itafika kukaangiziwa mahanjumati, kulishwa, kufanyiwa massage, kufuliwa na kupigiwa pasi bila kusahau kuogeshwa na kunanihii
Hahaaaa, sipendi mambo hizo za kuwekeana zamu, napenda kuwa mmliki pekee ,mpk kuogeshwa aisee ntanenepaa ,vipi wewe kama utakua tayari kufanya hayo yote tuyajenge tuuu(joke)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu kwa umri wangu, nawajua sana wanawake... Unaweza ukawa na good intention ila sasa itakufanya iwe ratiba yako, mwanamke haitazami hiyo kama umefanya kwa mapenzi ila ni kama wajibu wako, usijidanganye ndugu yangu bado hujawajua wanawake tulia hivyo hivyo

Happiness is a lifestyle
Hahaaa, unatuharibia husband's material ujuee. Msimfatishe maneno yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom