Mwanaume ukimhudumia mwanamke mapenzi yanakuwa matamu sana

Tusidanganyane mwananmke hajawahi kuridhika hata ufanyeje.... tulizo la mwanamke ni mipunga tu
 
Inawezekana ila nadhani usipoweka balance kama mwanaume ndo inaaweza leta ubwege endapo atakupanda kichwani

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujawajua wanawake vzur ww,unaweza kufanya yote na ukapigwa chin tu!iko iv,mwanamke ukimfanyia ivo ujue utaendelea kufanya ivo to the rest of your life...siku ukiacha atalalamika kwa nn humfanyii tena ivo,ww wkt unafanya kama kunogesha penz yy ataona ni wajibu wako kufanya hivyo!kiujumlaa mwanaume usitake kuzoeleka na aina flan ya habit kwa mkeo,yaan usitabirikee
 
Back
Top Bottom