Zyamwelele
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 405
- 155
- Thread starter
-
- #21
Interesting muke mubayaaa small house miss Africa. Inferiority complex
mwanaume mahela sura kuvumiliana
kwa hyo wale wazur wa shape,sura na rangi wameshaptwa na wakati.2siwaoe mpaka wawe na sifa mbadala...komesho
ni kweli kabisa ili kuepuka POST TRAUMATIC STRESS DISORDER na umri huu inabidi umgeukie wa kujifunika kwa shuka. Mie namtafuta mmojawapo. je unamjua mmojawapo?
ni kweli.........
ni kweli.........
ni kweli kivipi?funguka kwanza nikupate vizuri
Mna kazi, unataka mke mcha wakati wee mcha shetani?
mwanaume mahela sura kuvumiliana
na ujue kuwa matakuwa kama kumi hivi mnaongozana kama ukiangalia hizo fedha...mwisho utazitumia kununua arv. Tatizo wasichana wanadhani wanaume hatujui kama mnafuata pesa.....thats y mnakuwa kama sita , saba hv...u want money, then ukubali kushea
Nilijua tuu' my w funika bovu akipita kila pande watu wanamsifia zaid yamim nilivyomsifia Myface' na ichanganue hii kamba mara mbili, hakuna sehem nimeandika kwamba my w' mbaya. take care!!!Pamoja na vitu hivyo uzuri na shape ni muhimu otherwise utaendelea kutokwa na midenda kwakutamani mademu wa wenzako.
mwanamke sura na shape tabia tutarekebishana! mwanaume pesa na fwedha sura na vibamia tutavumiliana!Sasa mbona ww unanigomea kuingia ndani...rare material??!
sema tatizo watu wengi wenye suira mbaya huwa wana roho mbaya kama sura zao! sijui hii ipoje! mtu mbaya awe na roho safi sijaonaga!
haki tena fuatilia ! hili gemu hakuan cha sura wala nini mkuu ukiingia chaka inakula kwako! piga magoti utapata sura mbovu tabia mbovu sijui utapumzikia wapi?Tabasamu wee..' linaukweli hilo? kwamba walivyo wabaya usona hata mioyo yao ipo hivyohivyo? mm' nna mashaka kidogo nahilo ngoja nifatilie.!!