Ukijua kuichambua LOGIC raha sana. Unaweza kujiona Nabii kumbe ni Saikolojia tu

Logic yako imefeli j.k bwana john komba mzee wa kuoiga SOGA yupo mzima km chuma naona kahudhuria na mahafali leo.
 
You remind me about LOGIC in A-level and the following are truth about it.
1)False implies false is TRUE example in the court if you decide to tell about false all times then your final conclusion drawn may be accounted as TRUE.
2)enemy of your enemy is your friend.
3)99 true statements combined with only 1 false statement is judged false as a whole.πŸ˜›πŸ˜œπŸ˜
4)samaki mmoja akioza wote wameoza.πŸ™πŸ™
 
Hii nadhani ilikuwa kiki tu maana hata haijulikani aliyezusha nani na kwa sababu zipi watu wengi hata hawakuwa wakijua.
 
Called the power of logic congratulations kwa kuweza kufafanua vivid examples za logic how it works.
 


Mkuu tusaidie hapa

A: CCM DIGITAL

Wanachama wote ni sawa. Wote wanalipa ada zao za Uanachama kwa usawa, wote wana haki sawa. Kwa CCM hakuna Mwanachama tajiri au masikini, wote wamewekwa katika kapu moja. Masikini na tajiri wote wanalipa ada ya Uanachama ya Tshs. 1,200/= kwa mwaka. Katika CCM hakuna Mwanachama mbora zaidi ya mwingine. Kwa sababu hii, wanachama wa CCM wote wana-hadhi moja hakuna show-off ya uwezo wa mtu kwenye Chama. Wote wana wajibu mmoja na haki zenye kufanana bila kutofautishwa au kubaguliwa kwa hali ya uchumi. Kwa kifupi, hiki ni Chama cha wote, wenye nacho na wasio nacho ndio maana hata ada ya uanachama ni Tsh. 100 kwa mwezi.

 
LOGIC=MANTIKI

Watu baadhi mkiwa kwenye mabishano ukitumia logic anaanza kukuita msomi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…