Ferruccio Lamborghini
JF-Expert Member
- Apr 15, 2020
- 1,664
- 2,517
Ni nomaSms unatuma leo inafika kesho ..na kujirudiarudia
Ni nomaSms unatuma leo inafika kesho ..na kujirudiarudia
Halafu ukimcheki mkurugenzi wao Kindamba ndio walewale tu hupati msaada wowoteManagement haijafikiria kupokea maoni ya wadau, kwani suala la ugumu wa kutuma sms na customer care kutopokea simu za wadau ni kero Sana na kwa wasio wavumilivu wanatupa line ingawa mnafanya vizuri katika utoaji wa muda wa maongezi (voice) bila zuluma tofauti na wale wengine!.
Wale jau sanaHiyo numba 4 ni kweli kabisa, nimesha-report hiyo na hadi leo sijarudishiwa vocha yangu.
Mkuu serious wanakera kwanini watuambie uongo kama tatizo haliwezekani si bora kuambiwa ukweli sasa wenyewe wanakuambia tatizo lako linashughulikiwa kisha kimya.Ukipiga simu anapokea mwingine sio wa mwanzo unataka tatizo lako naambiwa linashughulikiwa yaani mlolongo ndio huohuo wiki nzima unapiga tu simu hupati msaada ni sound tu.Hawa watu ni wasenge sanaKwa wateja wa hivi, kweli customer care lazima awe na Hekima..., Sio kwamba nawatetea hawa jamaa, ila kuna vichwa ukikutana navyo utagundua kwamba aliyesema customer is always right hakuwa right....
Wasenge kinomaMkuu serious wanakera kwanini watuambie uongo kama tatizo haliwezekani si bora kuambiwa ukweli sasa wenyewe wanakuambia tatizo lako linashughulikiwa kisha kimya.Ukipiga simu anapokea mwingine sio wa mwanzo unataka tatizo lako naambiwa linashughulikiwa yaani mlolongo ndio huohuo wiki nzima unapiga tu simu hupati msaada ni sound tu.Hawa watu ni wasenge sana