Ukiishi Dar, ni rahisi sana kua chizi!

Ukiishi Dar, ni rahisi sana kua chizi!

Dar nlipakmbia tokea 2019 nikazamia mwanza maisha at least basic needs ni uhakika si ya kuumiza kchwa kama nlipokuwa dar bt ni muhimu sn mtu kuish dar tena kwa muda mrefu ndpo uende mikoan unakuwa na exposure kubwa sn pia hata utafutaji wako unakuwa wa hali ya juu kuliko raia ambao hawajafka town.
Dah ili neno aisee, goal yangu ya 2026 kusepa Dar
 
Maisha ya hapo mjini niliyaelewa kiasi chake nimehamishia Biashara zangu na Makazi Makao makuu ya nchi ila nikitaka mapumziko lazima niwe mjini hapo kuna utulivu huwa naupata tofauti na Mkoani huku.
 
Watu wa daslamu huwa mnajidanganya sana kusema mnawazidi wa mikoani utafutaji
huwa wananichekesha na kusikitisha kuna maisha wanayaishi watu wa dar mpaka unajiuliza ni lazima kuishi dar mambo ya kushindia juisi ya mia kwenye glass na viandazi vya mia mia viwili,
 
Sasa huko kwenu mtu anafunga safari kwenda kukopa elfu 2, mjini hayo maisha unayapatia wapi!? Dsm karibia kila kitu waweza kifanya fursa ukiwa na akili timamu, anza kuuza maji ya kufunga hapo mtaani kwenu uione kazi
 
Back
Top Bottom