Ukifuta picha kwenye simu zinakwenda wapi?

Zinarudi kwenye form ya non existence.

Inakua kama time machine in no future detect,,ila izi machine smart zinauwezo wakuji reverse nakufanya donenthing kua undoned..
 
Kwenye Tech, hakuna uwezo wa kufuta data. Hiyo delete unayoandikiwa ni kama geresha tuu. Hiyo simu yako au PC inaweza rudisha data zote ulizowahi kufuta. Delete uwa inabadilisha address ya content tuu.

Ukishaweka content yoyote kwenye simu au PC na ukaifuta anytime hiyo content inaweza kuwa retrieved.
 
Kwenye Tech, hakuna uwezo wa kufuta data. Hiyo delete unayoandikiwa ni kama geresha tuu. Hiyo simu yako au PC inaweza rudisha data zote ulizowahi kufuta. Delete uwa inabadilisha address ya content tuu.

ukishaweka content yoyote kwenye simu au PC na ukaifuta anytime hiyo content inaweza kuwa retrieved.
Thanks
 
Unafuta na havirudi mzee tena havirudi tena
 
Back
Top Bottom