Authentique
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 223
- 105
Sawa mkuu nimekuelewaIla tuwe wakweli tu binafsi sijishauwi wala siringi ila hivi kwa mfano wao wakiact namna wanavyoigiza inakuathiri nini usiyefanya directly au indirectly sababu mambo mengine ninaona ni kujitafutia tu msongo wa mawazo as long as you are not offended let them live their fake life pengine nao ndio njia yao ya kuondolea stress and be happy