Ukifika Capetown utashangaa sana

Ukifika Capetown utashangaa sana

Si kweli, hapa ilikuwa ni British territory tu, center yao ilikuwa Nairobi.

Beberu lingeendelea kukaa hapa wangenufaika Wakenya.
Wajerumani ndio wangeweza kuijenga hii nchi kama wangetawala mpaka tunapata uhuru na siyo waingereza ambao walikuwa wanazuga tu. Japo wajerumani walikuwa na ukatili lakini walikuwa wanapiga kazi sana na ndio maana jamii nyingi za pwani zilishindwa kuendana nao maana wajerumani hawapendi uzembe/uvivu hata huko kwao.
 
emoji23.png
kwahiyo OP amekua Snitch
Ya jandoni yanaishia jandoni,,,, Hawa wenzetu wamekuja huku wamefunga mkanda ndio mana wakirudi bongo wanatucharazia,,,, kibaharia Ana kesi ya kujibu
 
South ni nchi ya 11 kwa meat consumption Duniani, Nyie Kichuri unawekewa kwenye kibakuli hiyo ni nyama? Mtu anapeleka karibia kilo nzila na hiyo ni kila siku
Sema kweli mkuu Nyama tamu za leoleo? kama hizi za kwetu Musoma? na kichure? au ndo zile za kusagwa na mashine then zinapakwa dawa zinawekwa kwa friji miezi saba? Tarime sitasahau
 
South ni nchi ya 11 kwa meat consumption Duniani, Nyie Kichuri unawekewa kwenye kibakuli hiyo ni nyama? Mtu anapeleka karibia kilo nzila na hiyo ni kila siku
wana iga iga tu, wanalambalamba tu, mpaka zitafunwe na machine weee, ni leo? Mkurya anakupigia kibeberu kizima na miguu yake mbuzi choma jino kwa jino unalinganisha kilo3? na pia hii ina faida nyingi. km unaimarisha meno na taya. na ni mswaki unapiga hutanuka mdomo!, pia una activate enzymes, ni "kichure" siyo kichuri. Kinatokana na mnyama aliye chinjwa kiungo hiki kinaongeza chachu ya ulaji, utamu asilia na kuepusha Blood cholestralaemia -lehemu.Gout, oesteomylitis, HBP,baridi yabisi nk, ndiyo maana jamii zao hazina magonjwa hayo. Wamasai, wakurya, wachaga, wajita, watusi, wamaharic nk wamekula nyama karne nyingi mpaka leo lkn hawana hayo matatizo.ajili ya kiungo cha kichure. Lkn wanao fakamia kichwakichwa km hao ni wateja wa ma-Cardiologists. Nenda umasaini hakuna tabibu wa hivi. na masai wanakula mpaka nundu na supu yake yoteee! Wazee wetu wana akili sana waliwaza mbona mbuzi mwenye mafuta hana gout? Jibu likaja kichure!!
 
Botswana wanachukuwa sana watu wa medical wa wanawalipa vizuri sana kuliko Bongo.

Tuwasiliane inbox naweza kukupa connection kama utakuwa na vigezo.
Mkuu hali ikoje kwa watu waliosomea udaktari wa wanyama kwa nchi ha Botswana?
 
Nisalimie Wanachuo hasa wa Kitanzania hapo UCT ( University of Capetown ) na wale Wabongo wa Langa na 'Malaya' wazuri wa 'Winnipeg' Mkuu.
Mkuu umentajia LANGA umenikumbusha mbali sana... Mm nliishi ATHLONE na baadae SURREY ESTATE... usiisahau KHAILISHA
 
Hao wanaharibiwa na Black American movie tu.

Kundi hatari Cape town ni PAGAD na huenda hulijui wala hujawahi kulisikia
Heshima kwako Mkuu. Hao PAGAD waliwahi kumchoma mwana - SUPPLIER kwa kutumia GAS kisa anawaharibia watoto wao... Mimi nlikuwa naishi SURREY ESTATE
 
Hii takwimu ya 80% umeipata wapi kwa methodology gani?

Si ajabu ukasema 80% ya wakazi wa Tandika ni vibaka na wavuta bangi kwa sample ya machoni pako tu.
way back 2004-06 Capetown kulikuwa na Majina ya Wabongo - dealers - akiwemo Machuppa,
 
Utakuta kuna watanzania walishazamia SA zaidi ya miaka 30, hawana mbele wala nyuma na ndugu zao hawana taarifa zao.

Wenyeji wa Capetown ambao ni Coloureds wanaongea Kiswahili kama Wabongo, hii ni sababu walishajichanganya na Wabongo ambao wengi wanauzia unga na madawa mengine ya kulevya.

Kuna kitongoji kinaitwa Woodstock, kuna Watanzania kibao unaweza ukadhania upo keko.

Wanawake wa ki-coloureds wengi wanawapenda sana Wabongo. Haya ni baadhi ya maajabu ya Capetown, mji ambao naupenda na kila nikipata vijisenti huwa naenda kula bata Campsbay.

Nahitaji kiasi gani na mimi niweze kuja kula bata hapo Campsbay ?
 
Si kweli, information is power.

Wabongo wakipata taarifa za maandamano huwa hawatoki wanabaki nyumbani, binafsi nimeshakutana na maandamano ya hawa watu hatukuwa na taarifa wanaandamana siku hiyo, ni rahisi sana kuepukana na maandamano yao, na hata siku moja hawavamii makazi ya watu, ni ukijichanganya tu town siku wana maandamano yao imekula kwako.

Unapoishi nchi za watu hata Bongo, saa mbili usiku jitahidi kuangalia na kusikiliza taarifa za habari, na ukiamka asubuhi jenga utamaduni wa kusikiliza redio na taarifa za tv kabla hujatoka nyumbani.

Hii ni kwa dunia nzima siyo South Africa tu.

Kule Sweden kuna siku tulikuwa tunaamka ukifunguwa tv mbaambiwa leo msitoke nje na hakuna kwenda makazinMkuuume sana
Mkuu izo connection vp sasa, na network si ndio hii tunaianzisha hapa !
 
wana iga iga tu, wanalambalamba tu, mpaka zitafunwe na machine weee, ni leo? Mkurya anakupigia kibeberu kizima na miguu yake mbuzi choma jino kwa jino unalinganisha kilo3? na pia hii ina faida nyingi. km unaimarisha meno na taya. na ni mswaki unapiga hutanuka mdomo!, pia una activate enzymes, ni "kichure" siyo kichuri. Kinatokana na mnyama aliye chinjwa kiungo hiki kinaongeza chachu ya ulaji, utamu asilia na kuepusha Blood cholestralaemia -lehemu.Gout, oesteomylitis, HBP,baridi yabisi nk, ndiyo maana jamii zao hazina magonjwa hayo. Wamasai, wakurya, wachaga, wajita, watusi, wamaharic nk wamekula nyama karne nyingi mpaka leo lkn hawana hayo matatizo.ajili ya kiungo cha kichure. Lkn wanao fakamia kichwakichwa km hao ni wateja wa ma-Cardiologists. Nenda umasaini hakuna tabibu wa hivi. na masai wanakula mpaka nundu na supu yake yoteee! Wazee wetu wana akili sana waliwaza mbona mbuzi mwenye mafuta hana gout? Jibu likaja kichure!!
Mkuu happy Kuna kabila umeitaja haupo sahihi.
Hao nyama inawaletea shida sana kwa kuwasababishia magonjwa yatokanayo na ulaji wao.
 
Mkuu happy Kuna kabila umeitaja haupo sahihi.
Hao nyama inawaletea shida sana kwa kuwasababishia magonjwa yatokanayo na ulaji wao.
Yes!, ukiona hivo jamii hiyo ina Westernized family members wengi, waliosoma nusunusu, tena humohumo TZ!! wanadharau sana traditional way of Living! hata majina hawayataki ya kiswahili ni laana. siyo hawapo wamo baadhi! hata umasaini wako ambao hawataki maisha yale.

Lkn waliosoma kwa level za juu kabisa most probably mpaka nje ya nchi hawa wana kumbatia sana Utamaduni wa Ki-Africa km Obama! Musarlya mudavwadi, Kingunge ngombale, Wazulu, Wamasai nk, hawataki uzungu! kwa sababu wanajitambua,

Wazungu wali tudanganya kwa karne nyingi. wasomi weusi wamegeukia African pride, miti shamba yetu, Dread hair, Punky, mafuriko, vyakula nk,

Ukiwa na Punky, kiduku, Rasta Mikoani utanangwa kichaa huyu, Dsm kidogo utaeleweka!
Ulaya wanauchukulia ni upekee wa mwafrica wazungu wanautamani! sana, ni mweusi tu aweza suka rasta original, ukiwa nazo waweza hata uza km million sita hivi, kwa kichwa! zilivo bora ni hatari ukiingia maeneo ya wahuni unaweza uawa!!! zina mafuta yake maalumu Saloon, Bongo nzima hakuna!

Black american wengi walioamua kuhamia jumla na kukaa Mara, Mugumu wanakula kichure, Ritambwe, chisamvu, Mgagani, Ugali wa ulezi kuwazidi wenyeji.
 
Back
Top Bottom