Ukifika Capetown utashangaa sana

Ukifika Capetown utashangaa sana

Sio kufika tu nimeishi cape town na kysna , sema kingine .!!
Of all South African provinces gauteng ndio province notorious kwa karibu Kika ushenzi yet tatizo la madawa ya kulevya halijafikia hata 30%
Kwan huko hakuna police??

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Sio kufika tu nimeishi cape town na kysna , sema kingine .!!
Of all South African provinces gauteng ndio province notorious kwa karibu Kika ushenzi yet tatizo la madawa ya kulevya halijafikia hata 30%
Lifestyle ya Capetown na Gauteng ni tofauti sana. Kumbuka hata Coloureds wengi wapo Western Cape na 80% wanatumia madawa ya kulevya. Wanaanza wakiwa wadogo sana.
 
Lifestyle ya Capetown na Gauteng ni tofauti sana. Kumbuka hata Coloureds wengi wapo Western Cape na 80% wanatumia madawa ya kulevya. Wanaanza wakiwa wadogo sana.
Hii takwimu ya 80% umeipata wapi kwa methodology gani?

Si ajabu ukasema 80% ya wakazi wa Tandika ni vibaka na wavuta bangi kwa sample ya machoni pako tu.
 
Coloureds ndio akina nani?
Kukurahisishia makaradi ni kizazi kilichotokana na makaburu, na wakaanza kuzaliana wenyewe kikatokea kizazi chao na lugha yao ni Afrikaans lugha ya makaburu.

Kwa kifupi makaradi ni watoto wa nyumba ndogo wa makaburu, siyo wazungu na wala siyo weusi.

Ukitaka kuwajuwa makaradi ni kama Kally Ongala, kuna yule Kaburu wa Simba au Callinyo wa Yanga Maddam Ritta, P Funk Majani and likes.
 
Yes! Hans Pope, P Funk, Rita Poulsen, Yusuf Poulsen.

Though kumuita Hans Pope kaburu sio sahihi.
 
Lifestyle ya Capetown na Gauteng ni tofauti sana. Kumbuka hata Coloureds wengi wapo Western Cape na 80% wanatumia madawa ya kulevya. Wanaanza wakiwa wadogo sana.
Sikatai kuna lifestyle tofauti Kati ya Moji hiyo miwili , Ila gauteng ndio ushenzini, coloured wapo western cape kiasili sio wahamiaji, ni motherland yao kule .
 
Sikatai kuna lifestyle tofauti Kati ya Moji hiyo miwili , Ila gauteng ndio ushenzini, coloured wapo western cape kiasili sio wahamiaji, ni motherland yao kule .
Kwa hiyo usijifanye unajua wakati hujui kitu.
 
bandarini wanalipaje vibarua wao per shift
Ngoja mimi nikufupishie, Dunia nzima kazi ni connection yako na network yako tu.

Wabongo wanafanyakazi kwenye sekta zote kasoro serikalini tu, hii inadepand who are you na who is ur friends.

Wanasemaga show me ur friends then i will tell u who you are....

Kama company yako ni wa dizaini fulani ukienda nchi walipo kampani yako utafanyakazi wanazofanya wao, formula iko hivyo.

Kitu cha ziada kwenye maisha kuna bahati, hii God given unaweza kukutana na network ambayo hukuitegemea na hata uliowakuta wakakushangaa, maisha yanachange na mambo yananyooka.

Nikupe tofauti kubwa ya Nigerians na Watanzania, tofauti kubwa ni hii

Mtanzania aliyekimbia shule anaweza kujipa matumaini akifika South Africa mambo tambarare bila ya kuwa na network au connection yoyote mwisho wa usiku usishangae kukumkita kaajiliwa na Mnigeria kwenye salon au kuuza matunda.

Tofauti na Wanigeria wengi niliowaona mimi nchi ile siyo Teenegers, ni watu wazima tena hadi wazee wenye exposure kubwa, unakuta mtu amesafa Uk kama 20 years amepiga hesabu zake ameona kwa mkaburu hesabu zake zitalipa unawakuta dizaini hiyo wapo wengi, wana network worldwide.

Ni ngumu kwa Mbongo eti atoke Marekani aende kuhamishia maskani yake South Africa kwakuwa anayo capital na ameiona fursa.

Kwa kifupi tofauti yetu na wao ni hiyo, wao hakuna school boys kule ni watu wazima wanaojitambuwa na wanajuwa wanatafuta nini.

Mnigeria hawezi kuuza matunda, lakini anaweza kumuajiri mtu amuuzie matunda yeye anaendelea na mishe nyingine zenye akili.

Yale mambo ile ela tuma kwenye namba hii wenzetu walifanya miaka ya 90 wakati internet ndio inaingia Africa.
 
Back
Top Bottom