Ukifika Capetown utashangaa sana

Ukifika Capetown utashangaa sana

Vipi UKIMWI,hali ikoje.
TB, na HIV kwa South Africa ni maambukizi ya hali ya juu kuliko nchi yoyote ya Africa.

But/lakini hutoweza kumuona mtu yeyote mwenye dalili za magonjwa hayo kwa sababu kwa nchi ya South Africa chakula bora ni haki kwa raia wote.

Sidhani kama kuna tatizo la utapiamlo South Africa, kwa level of my understanding nadhani kwa ulaji nyama baada ya Marekani basi nafsi ya pili itakuwa inashikwa na South Africa.

Hii si kwa mujibu wa takwimu bali kwa mujibu nilivyotembelea na kuishi Marekani, Shenghen, Uk na South Africa wakati Mandela akiwa Rais na Thabo Mbekhi.
 
Vipi ajira sector ya afya kwenye mashirika ya kimataifa? Nisaidie connection mkuu

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu unaonekana una experience kubwa sana huko kwa madiba.
Wengine kipindi hicho tunamaliza secondary wakaondoka kwenda huko bondeni lakini mpka Leo wengine hatujawahi kuwaona wakirudi au hata mawasiliano kuna uwezekano walishafariki?
Inategemea huko kitaa kwenu walitoka wakiwa na status gani?

Wapo ambao wamekwenda kuishi walitoka kabla ya hii mitandao ya kijamii Facebook and likes, ni vigumu kupata info zao, ila wapo hai wanaishi, naweza kukuhakikishia wana uhakika wa kula, kunywa bia na kulipa kodi ya nyumba kuliko wewe ambaye uko nyumbani bongo.

Kuna waliokwenda kama transit, hawa ni wadandia meli, Cape town pirt, meli zote zikitoka pale destination yao ni America na Ulaya na hasa freezer ship, ni Port to port huwa hazipiti popote ni straight Uk au America.

Kama una rafiki akiwa Bongo alikuwa ni chizi Meli na alikwenda kwa Kaburu, nakupa hope huyo mtu yupo ulaya au America, tatizo machizi meli wako very poor kwenye currently communication. Nawajuwa vizuri nimekutana nao Uk na South Africa.
 
Vipi ajira sector ya afya kwenye mashirika ya kimataifa? Nisaidie connection mkuu

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Professional jobs sheria ziko wazi, labda upewe transfer kwenye nchi ulipo kwenda Sourh Africa kufanya kazi kwenye post hiyo kwenye taasisi yenu.

Lakini ukiwa pale kuomba aina hiyo ya ya kazi kisheria lazima kazi hiyo itangazwe kwenye magazeti yao kwa miezi sita, ikikosa mtu ndio upewe wewe mgeni.

Kwa kifupi hakuna kitu kama hicho, wenzetu wamelinda ajira za wazawa professionals ipasavyo.
 
Ni ndugu kabisa.
Maana ni pipa na mfuniko.
Hata xenophobia ikitokea ni wabongo wachache Sana wanaodhulika.
Wale wastaarabu wastaarabu.
Ila wale wahuni wenzao wanapeta tu.
Si kweli, information is power.

Wabongo wakipata taarifa za maandamano huwa hawatoki wanabaki nyumbani, binafsi nimeshakutana na maandamano ya hawa watu hatukuwa na taarifa wanaandamana siku hiyo, ni rahisi sana kuepukana na maandamano yao, na hata siku moja hawavamii makazi ya watu, ni ukijichanganya tu town siku wana maandamano yao imekula kwako.

Unapoishi nchi za watu hata Bongo, saa mbili usiku jitahidi kuangalia na kusikiliza taarifa za habari, na ukiamka asubuhi jenga utamaduni wa kusikiliza redio na taarifa za tv kabla hujatoka nyumbani.

Hii ni kwa dunia nzima siyo South Africa tu.

Kule Sweden kuna siku tulikuwa tunaamka ukifunguwa tv mbaambiwa leo msitoke nje na hakuna kwenda makazini.
 
Ngoja mimi nikufupishie, Dunia nzima kazi ni connection yako na network yako tu.

Wabongo wanafanyakazi kwenye sekta zote kasoro serikalini tu, hii inadepand who are you na who is ur friends.

Wanasemaga show me ur friends then i will tell u who you are....

Kama company yako ni wa dizaini fulani ukienda nchi walipo kampani yako utafanyakazi wanazofanya wao, formula iko hivyo.

Kitu cha ziada kwenye maisha kuna bahati, hii God given unaweza kukutana na network ambayo hukuitegemea na hata uliowakuta wakakushangaa, maisha yanachange na mambo yananyooka.

Nikupe tofauti kubwa ya Nigerians na Watanzania, tofauti kubwa ni hii

Mtanzania aliyekimbia shule anaweza kujipa matumaini akifika South Africa mambo tambarare bila ya kuwa na network au connection yoyote mwisho wa usiku usishangae kukumkita kaajiliwa na Mnigeria kwenye salon au kuuza matunda.

Tofauti na Wanigeria wengi niliowaona mimi nchi ile siyo Teenegers, ni watu wazima tena hadi wazee wenye exposure kubwa, unakuta mtu amesafa Uk kama 20 years amepiga hesabu zake ameona kwa mkaburu hesabu zake zitalipa unawakuta dizaini hiyo wapo wengi, wana network worldwide.

Ni ngumu kwa Mbongo eti atoke Marekani aende kuhamishia maskani yake South Africa kwakuwa anayo capital na ameiona fursa.

Kwa kifupi tofauti yetu na wao ni hiyo, wao hakuna school boys kule ni watu wazima wanaojitambuwa na wanajuwa wanatafuta nini.

Mnigeria hawezi kuuza matunda, lakini anaweza kumuajiri mtu amuuzie matunda yeye anaendelea na mishe nyingine zenye akili.

Yale mambo ile ela tuma kwenye namba hii wenzetu walifanya miaka ya 90 wakati internet ndio inaingia Africa.
Duuh!
WEUSI SHULE
 
Wengi wanaoanzisha hiyo xenophobia ni WAHUNI.msauzi aliyeelimika hawezi kufanya hivyo.
Na Kama unavyojua ndege wafananao huruka pamoja.
muhuni wa sauzi hawezi kumzingua muhuni mwenzie wa kibongo
Si kweli, information is power.

Wabongo wakipata taarifa za maandamano huwa hawatoki wanabaki nyumbani, binafsi nimeshakutana na maandamano ya hawa watu hatukuwa na taarifa wanaandamana siku hiyo, ni rahisi sana kuepukana na maandamano yao, na hata siku moja hawavamii makazi ya watu, ni ukijichanganya tu town siku wana maandamano yao imekula kwako.

Unapoishi nchi za watu hata Bongo, saa mbili usiku jitahidi kuangalia na kusikiliza taarifa za habari, na ukiamka asubuhi jenga utamaduni wa kusikiliza redio na taarifa za tv kabla hujatoka nyumbani.

Hii ni kwa dunia nzima siyo South Africa tu.

Kule Sweden kuna siku tulikuwa tunaamka ukifunguwa tv mbaambiwa leo msitoke nje na hakuna kwenda makazini.
 
Uko sahihi kwa upande wako na jamaa uliyem-quote pia yuko sahihi, in some contexts!

Vipi kuhusu wangoni, vipi kuhusu wa Swahel/swahili, vipi kuhusu wabantu?

For all we know JMT is almost an anonymous collection of run away fugitives/slaves/natives of certain nations/cultures/nativity/(chimbuko),(asili), etc

Kwa kiasi fulani hoja yake imesimama na inafikirisha!

***Could be a great paper for masters & PhD & stuff!

Just my opinion Chief, let the fact file grind naturally!, Please.
mmh upo nondo!! Safi sana
 
Kwan huko hakuna police??

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Wapo. Tatizo silaha zinauzwa kwa kila mtu.
FB_IMG_16030416197975965.jpg
 
TB, na HIV kwa South Africa ni maambukizi ya hali ya juu kuliko nchi yoyote ya Africa.

But/lakini hutoweza kumuona mtu yeyote mwenye dalili za magonjwa hayo kwa sababu kwa nchi ya South Africa chakula bora ni haki kwa raia wote.

Sidhani kama kuna tatizo la utapiamlo South Africa, kwa level of my understanding nadhani kwa ulaji nyama baada ya Marekani basi nafsi ya pili itakuwa inashikwa na South Africa.

Hii si kwa mujibu wa takwimu bali kwa mujibu nilivyotembelea na kuishi Marekani, Shenghen, Uk na South Africa wakati Mandela akiwa Rais na Thabo Mbekhi.
"You will not finish meat in Johannesburg but you will finish your teeth" , hii kauli niliambiwa na rafiki yangu mmoja msouth anaitwa Sibusiso. Na kweli nilikula nyama balaa.
 
"You will not finish meat in Johannesburg but you will finish your teeth" , hii kauli niliambiwa na rafiki yangu mmoja msouth anaitwa Sibusiso. Na kweli nilikula nyama balaa.
Daa noma binafisi huwa natamani kuishi nchi za kusini mwa jangwa la sahara

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Nisalimie Wanachuo hasa wa Kitanzania hapo UCT ( University of Capetown ) na wale Wabongo wa Langa na 'Malaya' wazuri wa 'Winnipeg' Mkuu.
Nipe mbili tatu za hapo UCT Mkuu, naweza soma hapo kwa kujilipia? huku nikifanya vijikazi vya hapa na pale hapa sina kitu kabisa ila niko Cape ya jirani na Capetown.
 
"You will not finish meat in Johannesburg but you will finish your teeth" , hii kauli niliambiwa na rafiki yangu mmoja msouth anaitwa Sibusiso. Na kweli nilikula nyama balaa.
Sema kweli mkuu Nyama tamu za leoleo? kama hizi za kwetu Musoma? na kichure? au ndo zile za kusagwa na mashine then zinapakwa dawa zinawekwa kwa friji miezi saba? Tarime sitasahau
 
Back
Top Bottom