Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,286
- 7,074
- Thread starter
- #21
Ahaaa, ukafanye nini? Mimi huwa naenda na kurudi sikai huko.
Ahaaa, ukafanye nini? Mimi huwa naenda na kurudi sikai huko.
Ni muda wa kufatilia chimbuko la nchi za SADC yaweza kuwa sisi ni baba na mama mmoja maana tunaelewana na tabia tunafananaHawapendi kazi ngumu kama Wazimbabwe, Wamalawi na watu wa Msumbiji.
Ahahahahaha
Kuwa makini ba data zako asilimia 80 sio data halisi unaweza ukawa na data lakini tatizo la madawa kwa coloured halipo unavyolisimuliaNenda kaone kwa macho yako,coloureds 80% wanatumia madawa. Wabongo wanaofanya kazi za kuuza bidhaaa au bandarini ni wachache sana.
Naam,ndio matunda ya beberu hayo.
Beberu lili ijenga Capetown kikweli kweli.
Safi sana.
Ulishafika haya maeneo? Unafahamu gangs za Capflats?Kuwa makini ba data zako asilimia 80 sio data halisi unaweza ukawa na data lakini tatizo la madawa kwa coloured halipo unavyolisimulia
28's, 26's, AmericansUlishafika haya maeneo? Unafahamu gangs za Capflats?
Si kweli, hapa ilikuwa ni British territory tu, center yao ilikuwa Nairobi.Beberu angeendelea kukaa Dar es salaam kwa muda mrefu jiji lingekua kama capetown.
Kwahiyo unataka kuwadanganya wasiolewa kwamba Wabongo ndio wasambaza dawa za kulevya kuwazidi Wanigeria?Wabongo ndio ma-supplier wa ngada!
Hao wanaharibiwa na Black American movie tu.28's, 26's, Americans
Hapo ni Table mountain, kuna hotel hapo juu unapanda kwa cable kufika hapo na unaliangalia jiji lote la Cape Town kwa chini na bahari zotebili unaziona Indian ocean east na Antrantic ocean west cost.Safi sana.
Hilo jiwe/mlima hapo katikati umefanana na sili mkubwa anyeota jua.
WanaijeriaWabongo ndio ma-supplier wa ngada!
People Against Gangsterism and Drugs. Hili ni kundi la waislam wa cape flats ambao wanawahenyesha wauzaji na watumiaji wa madawa ya kulevya japo wao wenyewe wanahusishwa na uuzaji pia.Hao wanaharibiwa na Black American movie tu.
Kundi hatari Cape town ni PAGAD na huenda hulijui wala hujawahi kulisikia
Duh
Mzee unajikombeleza mno mpaka unaboa yaani...
Eti baba mmoja....kaa kwenu,endeleza nchi yako acha kujijengea ukoo na watu wasikutambua sababu tu wameendelea
What a loss!





anahalalisha ukimbizi na uzamiajiNaamin nilichokiwaza mimi sicho ulichowaza weweDuh
Mzee unajikombeleza mno mpaka unaboa yaani...
Eti baba mmoja....kaa kwenu,endeleza nchi yako acha kujijengea ukoo na watu wasikutambua sababu tu wameendelea
What a loss!