moj6
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 3,354
- 5,006
Connection sina mkuuNaomba connection ya kwenda huko
Connection sina mkuuNaomba connection ya kwenda huko
Ngoja mimi nikufupishie, Dunia nzima kazi ni connection yako na network yako tu.
Wabongo wanafanyakazi kwenye sekta zote kasoro serikalini tu, hii inadepand who are you na who is ur friends.
Wanasemaga show me ur friends then i will tell u who you are....
Kama company yako ni wa dizaini fulani ukienda nchi walipo kampani yako utafanyakazi wanazofanya wao, formula iko hivyo.
Kitu cha ziada kwenye maisha kuna bahati, hii God given unaweza kukutana na network ambayo hukuitegemea na hata uliowakuta wakakushangaa, maisha yanachange na mambo yananyooka.
Nikupe tofauti kubwa ya Nigerians na Watanzania, tofauti kubwa ni hii
Mtanzania aliyekimbia shule anaweza kujipa matumaini akifika South Africa mambo tambarare bila ya kuwa na network au connection yoyote mwisho wa usiku usishangae kukumkita kaajiliwa na Mnigeria kwenye salon au kuuza matunda.
Tofauti na Wanigeria wengi niliowaona mimi nchi ile siyo Teenegers, ni watu wazima tena hadi wazee wenye exposure kubwa, unakuta mtu amesafa Uk kama 20 years amepiga hesabu zake ameona kwa mkaburu hesabu zake zitalipa unawakuta dizaini hiyo wapo wengi, wana network worldwide.
Ni ngumu kwa Mbongo eti atoke Marekani aende kuhamishia maskani yake South Africa kwakuwa anayo capital na ameiona fursa.
Kwa kifupi tofauti yetu na wao ni hiyo, wao hakuna school boys kule ni watu wazima wanaojitambuwa na wanajuwa wanatafuta nini.
Mnigeria hawezi kuuza matunda, lakini anaweza kumuajiri mtu amuuzie matunda yeye anaendelea na mishe nyingine zenye akili.
Yale mambo ile ela tuma kwenye namba hii wenzetu walifanya miaka ya 90 wakati internet ndio inaingia Africa.





nigeriens ni wapambanaji haswaUpo kama ghost now days?Wala ujapindisha kitunigeriens ni wapambanaji haswa
Upo kama ghost now days?
Hapo ni Table mountain, kuna hotel hapo juu unapanda kwa cable kufika hapo na unaliangalia jiji lote la Cape Town kwa chini na bahari zotebili unaziona Indian ocean east na Antrantic ocean west cost.
Ngoja nikutowe ushamba, hiyo inaitwa Buravozi inatamkwa hivyo, hata Bongo kwenye super market zipo.Nilitembelea machinjio ya J/Bug miaka 20 iliyopita ina uwezo wakuchinja ngombe 1200 kwa siku. Nyama ile nzuri hohehahe huwezi kununua. Wametengenezewa kitu kama soseji kubwa itokanayo na vinyamanyama vinapururwa ktk nyama nzuri ili ionekane nzuri inachanganywa na damu. hii hupikwa mithili ya kisusio na kufungwa kama mabomu ya hapa tz. Ndio hiyo wanayosema. Nyama ya maana kama loin au ya kiuno sahau kuila mtu wa kawaida.
Nashukuru kunipa jina lake kamili. Wangesema mm nawashika na kamba ya uwongo. Wasiyadharau mabomu ya hapa mmesikia wenzetu wanavyoongoza kwa kula nyama. Nyama ni nyama tu mradi isiwe na ugonjwa.Ngoja nikutowe ushamba, hiyo inaitwa Buravozi inatamkwa hivyo, hata Bongo kwenye super market zipo.
Nyama siyo issue south Africa labda uongee jambo lingine.
Wao ndio wanaongoza kwa kula nyama Africa nzima.
Bado unapotosha, hizo buravozi zipo ni very cheapest price, lakini nyamba nyingine zipo kama kawaida, tena mabucha yao mbele kuna brai mashine,. Unanuwa gram unazotaka unapewa nafuta unachoma mwenyewe nje kwenye brai mashine na ugali unauzwa hapohapo take away maisha yanaendeleaNashukuru kunipa jina lake kamili. Wangesema mm nawashika na kamba ya uwongo. Wasiyadharau mabomu ya hapa mmesikia wenzetu wanavyoongoza kwa kula nyama. Nyama ni nyama tu mradi isiwe na ugonjwa.