EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,083
Habari za Leo wakuu.
Kuna ujinga fulani ulisha waingia wanaume, wakifanikiwa tu huwa hawakumbuki watu waliowasomesha au kuwapa mitaji.
Wengine walisomeshwa ili wazikomboe familia zao lakini wakisha kamatwa masikio na wanawake basi humalizia mishahara yao yote, mitaji yao yote na faida zao zote kuwanunulia kalolaiti wanawake, wengine humalizia pesa za saloon za kike kuwasuka wanawake wao, wengine humalizia pesa walioipata kwa shida kuwavisha watu ambao hawakununua hata daftari wala pencili ya kufanyia mtihani.
Wengine pamoja na ubinafsi wao huo wa kushindwa kuzikomboa familia zao huishia kuoa mapema ili wakamatwe kuwahudumia hao wanawake wao na mwisho wa siku huzaa vitoto ambavyo navyo baadaye vinaandaliwa kuwa maskini. Mwisho wa siku unakua ni mlolongo. Babu masikini, bibi maskini, baba na mama maskini, watoto masikini, ukoo mzima maskini. Linabaki kuwa ni duara la umaskini ambalo haliwezi kutoka.
Endelea kumaliza pesa yako saloon na kwenye hizo kalolaiti kwa vitu ambavyo havina msingi