DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 6,138
- 11,989
😅🤣😂Jitokeze mbele kwa sauti kubwa , ongea kama wanaume tunavyoongea hata kwa kuiga tu
😅🤣😂Jitokeze mbele kwa sauti kubwa , ongea kama wanaume tunavyoongea hata kwa kuiga tu
Bwashee umekimbia😅
Jichanganye🥹Dah! Nimeletewa ujumbe na Mods ikabidi niifute comment yangu fasta! Leo kazi ipo.
Kumbe mtu anapambania penzi 🙌Mchumba kapigwa ban hivyo mmiliki wake ana wasiwasi isije ikawa mchumba wake anachepuko huko alipo.
Sawa kiongozi 😁Tunawaombea vijana wetu msamaha wa pamoja
Daah😂Kumbe mtu anapambania penzi 🙌
😁😁Daah😂
SawaTujaribu kuishi humu.
View attachment 3632747
Free Seran
Free secretarybird
Free adriz de mbusii
Free ......
Jichanganye.Sawa
Yaani tokea jana,naona Uzi wa kuunganisha 🆔 niliuliza sikupewa majibu ni id ipi na ipi ni ya mtu mmoja,Nimefeli kuelewa vikundi vya ugomvi vya humu