Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 3,954
- 11,030
Unaongelea nini? Hayo hayanihusuUpite msamaha wa pamoja kwa hao raia
Unaongelea nini? Hayo hayanihusuUpite msamaha wa pamoja kwa hao raia
Kumbe upo nikajua umekula banAisee
Anzisha matusi na member alafu UTAPATA MAJIBUToka nianze kutumia jf,sijawahi kupigwa ban.
Naitaka ban kwa nguvu zote nijue experience yake
Yani wanangu wote wote wamepigwa umeme
Bwashee hawa wana hawana makosa bila kuchokozwa, na inasemekana tu hivi majuzi walipinga ban yangu , ambayo ni ya mwana kondoo asiye na hatia😅Upite msamaha wa pamoja
AshakupatiaMjomba angu Harmful leo nina upwiru sana naomba msaada wako katika jambo hili gumu.
Kindege na seran wana hatia gani sasa.?Aah waachiwe huru
Free Tundu lisuTujaribu kuishi humu.
View attachment 3632747
Free Seran
Free secretarybird
Free adriz de mbusii
Free ......
Hadi yule jamaa aliyekuwa anatishia eti yeye ndo anagawa ban Magayor Mongolian kala banHata kama walicross redline lakn imekuwa mapema mnoo aise