Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,774
- 10,056
Don't mention anyone without his/her consentKwanini wamepigwa ban?
Don't mention anyone without his/her consentKwanini wamepigwa ban?
Wote waliopigwa ban ni kama ww wana akili roboYani wanangu wote wote wamepigwa umeme 😊, ila sio kesi
Aaaah kumbeDon't mention anyone without his/her consent
Kweli umenena vyema , endelea kufunguka tuoneWote waliopigwa ban ni kama ww wana akili robo
Acha sasa wakawachangamshe na wafungwa huko jela,Kuna kikundi jf wanatuchangamsha sana
Tujaribu kuishi humu.
View attachment 3632747
Free Seran
Free secretarybird
Free adriz de mbusii
Free ......
Wewe tena!Acha sasa wakawachangamshe na wafungwa huko jela,
Mod's waongezeni kifungo hao.
Jitokeze mbele kwa sauti kubwa , ongea kama wanaume tunavyoongea hata kwa kuiga tuWote waliopigwa ban ni kama ww wana akili robo
😁😁😁Wote waliopigwa ban ni kama ww wana akili robo
Hivi leo mbona mada za ban zimepamba moto 😂😂
Elezea kwa kina bwasheeUMASIKINI UNAUMIZA WATU
HASWA WA FIKRA
FURSA HAKUNA
UJINGA UNAUMIZA WATU
UTAMADUNI WA KIPUMBAVU UMEKUWA SEHEMU MAISHA
TRAUMA
STRESS
ULIMBUKENI WA MITANDAO
UTOTO
ndio maana unakuta mtu anaanzisha ligi na mtu ili ajione kidume angali yupo nyuma ya keybaord
Cha ajabu unaweza kuta unaemtukana ni boyfrind wa siri wa mam ako , 😁😁
I enjoy this😃
Inafikirisha sanaNdio unaweza kuta unaita mtu shoga wakati ndio anaetoka na mama yako
Alafu weww upo JF unamtukana na umekaaa kwwnye sofa hauna kazi, bando la kukopa, shemeji akiondoka ndio unapata nafasi ya kuangalia TV😁
Kwanza inakuwaje uumie kisa JF?
Ni kipi haswa kilicho cha dijitatli kinakufanya uchukiw mtu hadi unamuuundia timu😁
Huyo nae hana kazi za kufAnya, watu wanavyoanzisha mada za ban anaona sifaDah! Nimeletewa ujumbe na Mods ikabidi niifute comment yangu fasta! Leo kazi ipo.
Guess who?Kuna kajamaa juzi tu kalimfungulia uzi Mzee Said wa jf na kumtukana,leo hii kanajifanya eti hakafuatilii watu,halafu kila comment lazima kawe kanawatag watu,halafu kanasema hakafuatilii watu,
Kila dakika kalikua kanafungua nyuzi za kijinga jinga tu,watu wakakadharau,nyuzi zikawa zinaishia comments 10 tu,
Leo hii kamekua kapole kama kinda la njiwa aliye nyeshewa mvua.
Upepo wa ban ukitulia tutakaweka wazi hapa haka kanafiki.Guess who?
😂