Ukienda kwa Nabii T.B. Joshua, jihadhari sana

Naona hatuelewana unajarbu kwa nguvu zote kuhalalisha miujiza na uponyajiii..ukwel utabak kuwa zama hiz hakuna nabii,mtume wala nn awo wote ni majizi tu hata watumie biblia gani
Nakubaliana na wewe kwa 100%. Ukristo umegubikwa na "uongo" mwingi sana.
UKRISTO wa kweli umeachwa umebakia uongo na udanganyifu.
Watu wanaojiita Manabii wanahubiri ukristo wa uongo ili wajipatie pesa na mali.
 
Unaenda nje ya mada: ukiombewa(na mhubiri au mtu yeyote yule), ukapona, usitende dhambi tena.
Narudia, T.B. Joshua haponyi, ananunua wasanii na kuchezea watu akili tu. Do your investigation, utasikia mengi ya ajabu zaidi ya haya nikuambiayo juu yake.
 
Bible reference yann huoni kuwa babu zako waliomba mvua ikanyesha,mpka sahv watu wanakesha kwa vikinge na wanapona tena miujiza ya nguv kulko ya awo wajiitao wachungaj
Vikinge? Sishangai kwakuwa shetani naye hufanya miujiza. Si unakumbuka wachawi/waganga wa Farao walivyoigiza miujiza aliyofanya Mungu kupitia kwa Musa?
 
Narudia, T.B. Joshua haponyi, ananunua wasanii na kuchezea watu akili tu. Do your investigation, utasikia mengi ya hajabu zaidi ya haya nikuambiayo juu yake.
Usisahau mkuu, huu uzi sio wa kumjadili T.B. Joshua. Main point ya hii thread ni kwamba ukiombewa na mtu yeyote ukapona, usitende dhambi tena ili lisikupate jambo lililo baya zaidi.
As for T.B. Joshua, kama una ushahidi kuwa ni nabii feki, au unamhesabu kuwa adui wa imani yako, bado hupaswi kumchukia. Muombee abadilike. Yesu anatuagiza tuwapende maadui zetu. Tuwe tayari hata kuwalisha chakula
 
Falsafa yake juu ya uponyaji na kufunguliwa ni kuwa unapofunguliwa ndo unaijua dhambi.you are healed to follow Jesus.
Mwishoni mwa maombezi husema...if you have not known Jesus say this prayer after me.. .Lord Jesus wash me with your precious blood. ...

Unafunguliwa pia na ufahamu kumjua Kristo.naamini hakuna kosa hapo.tofauti na wahubiri wengine wabsikemea dhambi bila kujua root cause of it.
 
Nakubaliana na wewe kwa 100%. Ukristo umegubikwa na "uongo" mwingi sana.
UKRISTO wa kweli umeachwa umebakia uongo na udanganyifu.
Watu wanaojiita Manabii wanahubiri ukristo wa uongo ili wajipatie pesa na mali.
😂😂😂😂😂

Acha watu wapige mpunga bwana. Wajinga ndio wali wao.
 
Back
Top Bottom