Ukichunguza kiundani GSM amejitangaza sana na kupiga fedha kupitia Yanga lakini anachowafanyia ni sanaa tupu

Mtu ukijiunga jf unajiona una akili na kutoa mashudu kama haya. Hujui wewe ni expect member?
Salary unalipa wewe akiondoka au ndio ukolo? Mudi wenu anatumia bil 4 ushahidi uko wapi?
Tena hilo mudi ndio likwepaji kodi na tapeli kubwa liliwapa wachezaji wenu bodaboda.. 😁😁😁
SHHHHHHH usiongelee tena kodi sawa ishia hapohapo unawajua home shopping centre wewe? unajua mitkasi zao mjini ? narudia unyamaze kimya shshshssssss funika kombe mwanaharamu apite
 
Mtu ukijiunga jf unajiona una akili na kutoa mashudu kama haya. Hujui wewe ni expect member?
Salary unalipa wewe akiondoka au ndio ukolo? Mudi wenu anatumia bil 4 ushahidi uko wapi?
Tena hilo mudi ndio likwepaji kodi na tapeli kubwa liliwapa wachezaji wenu bodaboda.. 😁😁😁
Tuko timu moja huku. Tunaangalia uhalisia sio ushabiki Tena.
Mo ameleta wachezaji wangapi wakubwa Sana Simba. Kaipeleka timu kAmbi wapi? Mwaka Jana Alileta timu kubwa 3 kwenye Simba Super Cup. Leo tunapigwa na Zanako kweli.
Tukubali tu Yanga GSM anatutumia Hana lolote
Mo anajaza wachezaji mpaka wanakosa nafasi. Sheria tu zinambana tu.
GSM anakula na wazee ndio maana hatusikii kelele.
 
nasisitiza hatuna shabiki kama wewe
Hujajibu maswali yangu?
 
GSM Hana mpango na Makombe. Yupo kutupiga tu. Kwanza anazuia nafasi ya wafadhili wenye pesa zao
Unajuaje, ok, ni Mawazo yako, lakini Yanga chini ya GSM imefanikiwa Sana kuliko hata Yanga Ya manji. Cha msingi tuone msimu ujao timu itakuwa halo gani.
 
Tuko timu moja huku. Tunaangalia uhalisia sio ushabiki Tena.
Mo ameleta wachezaji wangapi wakubwa Sana Simba. Kaipeleka timu kAmbi wapi? Mwaka Jana Alileta timu kubwa 3 kwenye Simba Super Cup. Leo tunapigwa na Zanako kweli.
Tukubali tu Yanga GSM anatutumia Hana lolote
Mo anajaza wachezaji mpaka wanakosa nafasi. Sheria tu zinambana tu.
GSM anakula na wazee ndio maana hatusikii kelele.
Makolofc katika ubora wako. Mwaka juzi simba aliweka kambi South, akafika tu akatolewa na UD songo. Kambi haina uhusiano na Performance. Mo hakuna wachezaji wowote wa maana alioleta kuzidi GSM ya Yanga. Simba kuna Chama na Miquison tu Ndio wameclick chini ya Mo wengine wote ni Gamba. Sasa kwa kuwa uko timu ya makolo huezi elewa.
 
GSM Hana mpango na Makombe. Yupo kutupiga tu. Kwanza anazuia nafasi ya wafadhili wenye pesa zao
Mafanikio ya timu sio makombe, kuna factor nyingi za kuona club inafanikiwa au la. Zamaleki ana miaka 5 hajachukua kombe. Lakini ni mmoja ya timu 3 bora Africa. Hata piramidi ni timu bora Sana kuzidi simba lakini ni timu iliyofanikiwa Africa.
 
Kwa fedha alivyoipAtA GSM, YAnga tunashindwaje kusajili wachezaji wa maana?.
Huku Simba ikichukua wachezaji wenye record kubwa. Yanga tumewekeza kwenye propaganda hakuna uhalisia.
Aliyeisaidia yangA kwa Hali na Mali alikuwa mAnji tu. Alisajili na kuifanya timu kuwa Bora.

GSM yupo kufanya unyonyaji. Wamejibrand kupitia yanga lkn wanaiacha yanga ikiwa ovyo mwaka Hadi mwaka.

Kitu pekee walichofanikiwa NI kwenye propaganda. Kwanza walikaa karibu na Manara toka awali ili asiwalenge na kufanya vibaya kwa yanga.

Timu kubwa Kama yanga inataka uwekezaji haswa kitakwimu sio propaganda. Tujue Mo hutumia B. 4 kwa mwaka kwa Simba. GSM hutumia kiasi gAni.
Na ukweli NI kuwa bila yanga GSM ilikuwa sio kitu kabisa. Na ukweli kwa alivyofanikiwa kwenye propaganda GSM.

Tunaojua soka la yanga tunamkumbuka na Abasi Gulamali, Yanga wanakuwa mabingwa wa kistoria kupitia yeye. Yanga ya makombe ndio yeye. Mabingwa wa Tanzania na Afrika mashariki na Kati.

Tujiulize huyu GSM anamizizi yanga au kaingia kidili dili tu.

Mo kuanzia babu yake wote ni Simba je huyu GSM mizizi yake NI soka. Ivi awaoni ata akina chikwembe.
Hata Muddy anawapiga hela ndefu Simba ila wana Simba wamridhika na vikombe tu hawataki kujua mambo mengine yanayohusu fedha..
 
Kwa mfano wewe labda shabiki wa uto,, pale utopoloni kiasi kinachoingia wewe unapata sh ngapi au unachangia sh ngapi kwa mwezi?
Furaha ya shabiki ni makombe na wachezaji walipwe vizuri tu,, hayo mengine ni stress za kukosa ubingwa miaka minnie mfululizo
 
nyie ndo mashabiki wa MAKOLO FC mnaojisema mnajielewa

Wazazi wengine wamepata hasara...NI HUZUNI KWAKWELI
 
Hauwezi kuwa MwanaYanga ww, hili la kwanza na pili fuatilia CV ya coach Nasredine Mohammed Nabi pia na coach Cedric Kaze ni makocha wa daraja la Juu sana halafu njoo kwa makocha hawa Coach Gomes, Coach Sven, na Coach Ausems ni makocha wa madaraja sawa na hao wa Yanga ila tofauti yao walijikuta simba ipo kwenye reli tayari na wakafanya nayo vzr ila now angalia Coach Ausems kule Afc Leopard Kenya alivyo na matokeo mabaya na vipi kuhusu Coach Sven wale RS Berkane kawafikisha wapi kwenye ligi kuu ya Morroco na vipi kuhusu michuano ya Africa kawafikisha wapi bila kusahau hapo unakumbuka Gomes alipokuwa Al hilal ya pale Sudan alifanya nini kwenye mashindano ya Afrika

Kwenye swala la usajili hapa huwa kifanyike kitu kinaitwa Gambling, Luis Jose Miquissone alisajiliwa Mamelodi sundowns alishindwa Kuprove ubora wake akarudishwa Ud songo kwa mkopo, ila simba wakamchukua waka Win katika hilo na ikawalipa ila hapo nyuma pia wamewahi kufanya sajili nyingi na hazikuwa lipa na wakapata flop players

Ishu ya mpira ni ufundi kama unaangalia kwa jicho hilo ila kama unaangalia kwa jicho la kiushabiki huwezi kuelewa ninacho kuzungumza
Mim nakuelewa mkuu, mim ni msimbazi pure but mwamba una point
 
Kwa fedha alivyoipAtA GSM, YAnga tunashindwaje kusajili wachezaji wa maana?.
Huku Simba ikichukua wachezaji wenye record kubwa. Yanga tumewekeza kwenye propaganda hakuna uhalisia.
Aliyeisaidia yangA kwa Hali na Mali alikuwa mAnji tu. Alisajili na kuifanya timu kuwa Bora.

GSM yupo kufanya unyonyaji. Wamejibrand kupitia yanga lkn wanaiacha yanga ikiwa ovyo mwaka Hadi mwaka.

Kitu pekee walichofanikiwa NI kwenye propaganda. Kwanza walikaa karibu na Manara toka awali ili asiwalenge na kufanya vibaya kwa yanga.

Timu kubwa Kama yanga inataka uwekezaji haswa kitakwimu sio propaganda. Tujue Mo hutumia B. 4 kwa mwaka kwa Simba. GSM hutumia kiasi gAni.
Na ukweli NI kuwa bila yanga GSM ilikuwa sio kitu kabisa. Na ukweli kwa alivyofanikiwa kwenye propaganda GSM.

Tunaojua soka la yanga tunamkumbuka na Abasi Gulamali, Yanga wanakuwa mabingwa wa kistoria kupitia yeye. Yanga ya makombe ndio yeye. Mabingwa wa Tanzania na Afrika mashariki na Kati.

Tujiulize huyu GSM anamizizi yanga au kaingia kidili dili tu.

Mo kuanzia babu yake wote ni Simba je huyu GSM mizizi yake NI soka. Ivi awaoni ata akina chikwembe.
Manji kasaidia yanga wap unafikir manji anaweza sasaiv Aman ilikua usajili mkubwa Milion 70 mpaka 90 na mshahara wa m5 uyo ndio mchezaji mkubwa na league haikua ngum kama Sasa mchezaji usajili unafika mpaka Milion Mia 5 uyo manji unafikir angeweza embu tutajie mchezaji Mmoj alie sajiliwa na manji anaweza kupata namba kwenye yanga hii
 
Mtu ukijiunga jf unajiona una akili na kutoa mashudu kama haya. Hujui wewe ni expect member?
Salary unalipa wewe akiondoka au ndio ukolo? Mudi wenu anatumia bil 4 ushahidi uko wapi?
Tena hilo mudi ndio likwepaji kodi na tapeli kubwa liliwapa wachezaji wenu bodaboda..
Namba hazidanganyi acha mihemuko, chini ya huyo Mudi ndo Simba imedominate soka la Tanzania hadi sasa ana makombe 4 mfululizo, ngao ya hisani 3, Azam federation 2 mfululizo, hao ambao sio akina Mudi wamefanya nini? Msimu jana Simba wamechukua makombe yote Tanzania bara, Ligi ya vijana, wanawake na ligi kuu, FA hadi ngao ya jamii, mwaka huu amechukua kombe la wanawake, ligi kuu na azam federation huku vijana wakitolewa nusu fainali, unamdharau vp huyo Mudi kwa mafanikio hayo??
 
nyie ndo mashabiki wa MAKOLO FC mnaojisema mnajielewa

Wazazi wengine wamepata hasara...NI HUZUNI KWAKWELI
Acha kujifanya mjuaji, nje ya matokeo mazuri uwanjani na makombe, shabiki unapata faida gani kuishabikia club yako?? Hizo hela shabiki huoni hata 100 mbovu, wanalipana mishahara viongozi huko, furaha yako shabiki ni makombe na ushindi. Km timu yako haikupi hivyo vitu huwezi kuwa na furaha
 
Unajuaje, ok, ni Mawazo yako, lakini Yanga chini ya GSM imefanikiwa Sana kuliko hata Yanga Ya manji. Cha msingi tuone msimu ujao timu itakuwa halo gani.
Umefanikisha kwenye propaganda na kuwaaminisha Uongo Wana yanga. Yanga wengi tulishaaminishwa timu yetu nzuri Sana Ila tunaonewa na Tff.
Kitakwimu mafanikio ya Manji na GSM NI tofauti kubwa mno ya mbingu na aridhi. Yanga ya Manji ilikuwa ya ushindi na ya kimataifa. Walisogea ata hatua kadhaa mbele. Walishiriki Hadi makundi ligi ya mabingwa. Uje ufananishe na uu uchafu unaopigwa na Zanaco nyumbani kwenye uwanja, Rafa na Mashabiki wao kwenye siku yao
 
Back
Top Bottom