Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
mbona mna nichanganya wewe na Erickb52 ?
Ndugu yako huyo ndo anakuchanganya.
mbona mna nichanganya wewe na Erickb52 ?
Zamani mlikua pamoja jamani, ujue Erickb52 anakupenda sana na hayupo tayali kukupoteza
We nae mbona mbishi sana jameni??!!!
Ndugu yako huyo ndo anakuchanganya.
Duh! Haya bana mie sitii tena neno hapo shemeji
Yaani umerudia tena??
Yesu alikua mwanaume, wewe ni msichana mrembo! Ukweli ninapo tazama avatar yako hua nafurahi sana
Duh! Hiyo si zaidi ya km 50!
Bwana asifiwe mama paroko ladyfurahia!
amina kumbeupo je unamfahamu agush nina shida naye
amina kumbeupo je unamfahamu agush nina shida naye