Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
- Thread starter
- #121
ah ah! Jamani kimya kimya The secretary
Last edited by a moderator:
mbona huo ni umbali mdogo ndugu?
Nalog off
umeipenda ee
Ndio nimeipenda, haya nimejitokeza
Hiroaki Akahoshi utaacha lini hii tabia?![]()
Ndio maana Kwa mara ya pili umefanikiwa kutembea kutokea Mbagala mwisho hadi Mbweni ( masite ) kwasababu ya kupiga chabo!Hiroaki Akahoshi utaacha lini hii tabia?![]()
usisubiri kesho,unaweza kuta washaweka treni.Ivi punde nitaanza kutokea Kibaha hadi Vijibweni
matokeo ya form four ya 2012 kwani yameingia kwenye hicho kitabu?