Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 8,184
- 11,607
capt.John Komba..Hivi ukiachwa unatakiwa usikilize nyimbo gani ili roho itulie?
' Mgeni kwetu ameingia '🐒
capt.John Komba..Hivi ukiachwa unatakiwa usikilize nyimbo gani ili roho itulie?
Good.Mtumishi bado sina hiyo experience
Kwann umeniuliza hilo swali...??Good.
Kama ulimgharamikia nenda kamroge ndio moyo wako utulie 😃😃😃😃
Nyimbo za msechu zile za maombolezoHivi ukiachwa unatakiwa usikilize nyimbo gani ili roho itulie?
😃😃😃Ustaadh asalaam, huyu anaomba ushauri wa wimbo sio kulipa kisasi au kumdhuru, anataka wimbo wa kumfariji.
Nilitaka tu kufahamu😀Kwann umeniuliza hilo swali...??
Maselaaa nimekutana na ex wangu amekonda mbwaaa yule 🪘
Some broken never mendHivi ukiachwa unatakiwa usikilize nyimbo gani ili roho itulie?
Aaah sawaa mtumishi niombee nisipigwe za usoNilitaka tu kufahamu😀
😂Maselaaa nimekutana na ex wangu amekonda mbwaaa yule 🪘🥁🎷
Sugu alitisha sanaSugu -hayakuwq mapenzi