Ukiachwa achika

Yah....ila wapo pia wanaotembea long mileages hadi waje kuwa sawa. Hii yote inadepend na mahusiano yalivyokuwa na umri wa mahusiano husika. So ni across issue....

Sent using Jamii Forums mobile app
True kama uliwekeza social, physical and psychology energy utapata tabu sana.

Fikiria ni mume uliejenga nae nyumba na sasa inabidi mgawane mali.
 
Nipo kwenye hiyo situation asee..nimemchoka kumwambia ukweli namuonea huruma..
Anapata tabu huyu mwanamke niambieni nimwambie nini aelewe pasipo kuumia
 
Nipo kwenye hiyo situation asee..nimemchoka kumwambia ukweli namuonea huruma..
Anapata tabu huyu mwanamke niambieni nimwambie nini aelewe pasipo kuumia
Maumivu lazima yawepo ila ukitaka kumuua nyani usimuangalie usoni.
 
Nipo kwenye hiyo situation asee..nimemchoka kumwambia ukweli namuonea huruma..
Anapata tabu huyu mwanamke niambieni nimwambie nini aelewe pasipo kuumia
Muache taratibu na utengeneze mazingira ya yeye kukuchoka mpaka ifikie hatua atamke yeye kuwa muachane.

.
 
I love you for this
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Najiona mm
Kuna mda ukikaa unaenda kusoma conv zake za nyuma shikamoo mapenzi
Tupo wengi kumbe mdada. Binafsi pamoja na ushenzi nlionao huwa nikimpenda mdada mpaka Washkaji zangu huwa wanauliza huo moyo wa kupenda huwa ninao kweli au naigiza! Nikipenda huwa naheshimu sana mahusiano
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…