[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Nakupenda tu my one n only!!Ndo maana nakupenda
Uko na moyo wa huruma sana jamani
Mimi mmojawapo jamani
Aiseee.....Pole sana jamani...
Mie ndo kwanza huwa nakufa naoza! Ila Namshukuru Mungu sijawahi umizwa mpaka nikasahau kupenda
Mie najisemea tuu[emoji23][emoji23][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Umejua kunimaliza kumbe nimeachika bila kujijua
[emoji8][emoji8]awww!!!Nakupenda tu my one n only!!
Mie najisemea tuu
Kwani ni nani kakuacha eti
[emoji8][emoji8]awww!!!
Mungu anipe nini tena mie Sakayo
Hahaha hahaha
Pole totoEbu uko umeshanipa machungu mimi
Hahaha hahaha
Unapenda mpaka ukikaa peke ako, unaanza kucheka ukimuwaza! Akikupigia simu unaanza kusmile kwanza ndo upokee... Akikuambia ako na shida unaumia, unawaza namna ya kumsaidia...
Hivi inasaidia eenhPole toto
Hahaha hahaha
Unapenda mpaka ukikaa peke ako, unaanza kucheka ukimuwaza! Akikupigia simu unaanza kusmile kwanza ndo upokee... Akikuambia ako na shida unaumia, unawaza namna ya kumsaidia...
Dah
Hata sijui nielezee vipii unampenda mtu kama alivyo unampenda kwa vyovyote alivyoo yaani unampenda yeye tu
Na umpate anayekupenda pia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Najiona mm
Kuna mda ukikaa unaenda kusoma conv zake za nyuma shikamoo mapenzi
Kupendana bwana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We cheka tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka mm kama mazuri jamani