PoyeeeeNajiona mimi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ninayeteseka ni mimi jamaniiii huwa naingia mazima na miguu yote miwili
Mungu wangu nisaidie tu jamani
Nimekoma aaa!!
Poyeeee
Mie Eli wanguu ndo kesharudiiii
Woiiii
Wa kwangu mm sijui lini atarudi jamaniii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni nani huyo tuyajenge live hapa hapa?Usinicheke dada
Mapenzi ugonjwa mbaya sana jamani dah shunie mm nimepatikana
Wengine tukipenda tunapenda mazima
Tabu napata mimi
Eti unarudi lini jamani kwa shunie
Ni nani huyo tuyajenge live hapa hapa?
Nitengeneze mambo kama ulivyonisaidia kusawazi yangu[emoji23][emoji23]Hahhaha uyajenge nae au
Muombee Mungu arudishe moyo nyuma!Usinicheke dada
Mapenzi ugonjwa mbaya sana jamani dah shunie mm nimepatikana
Wengine tukipenda tunapenda mazima
Tabu napata mimi
Eti unarudi lini jamani kwa shunie
KivuliNi nani huyo tuyajenge live hapa hapa?
Mie sijuagi kupenda kidogoo akiii... Huwa inanicost sanaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nitengeneze mambo kama ulivyonisaidia kusawazi yangu[emoji23][emoji23]
Hahaha hahahaNitengeneze mambo kama ulivyonisaidia kusawazi yangu[emoji23][emoji23]
Muombee Mungu arudishe moyo nyuma!
Najiona mimi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ninayeteseka ni mimi jamaniiii huwa naingia mazima na miguu yote miwili
Mungu wangu nisaidie tu jamani
Mimi mmojawapo jamani
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha hahaha
Unalipa fadhila eeehhhh
Pole sana jamani...Aisee mshipa wa kupenda saana ulikatwa nipo lasita b. Baada ya kumpenda bint kisha kunisemea kwa mwalimu hatimae kuchezea viboko vya walimu ote
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Hahahah nacheka kama mazuri mm arudishe moyo nyuma tena kwahiyo nimeachika bila kujijua
Ndo maana nakupenda[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio darling!!!