Nimepigwa chini rasmi shunie!!
We ndo uliniacha Eli wanguu aki!Nimepigwa chini rasmi shunie!!
Usijali mdogo wanguu mzuri..
Dada Sky kasema ukiachwa achika... Mie nishakubali kitaaambo sana
Alishaniacha sema sikuwa naamini...Hapana hapa namtetea sakayo wewe ndio umeanza kumpiga chini
Wewe nakuita shemeji unaniambia shunie ushemeji umeisha sasa hivi sababu nimekukuta unabebishwa huko
Daaah...Hakuna sahihi zaidi yako luv!!!
Ananionea ati mie ndo nilimuacha?!Hapana hapa namtetea sakayo wewe ndio umeanza kumpiga chini
Wewe nakuita shemeji unaniambia shunie ushemeji umeisha sasa hivi sababu nimekukuta unabebishwa huko
Sio kweli jamaniiAlishaniacha sema sikuwa naamini...
Moyo wangu unalia sana sasa hivi...Daaah...
Nasikia kulia ujue
Aiseee ...Mezoea upweke anko!
Mie moyo wangu umechoka kupenda! Nitajipenda mwenyewe akiAcha tuachike tuuuu tutapata wengine
Njoo kwa waziri mkuu nikuombe msamaha, najua umeweka kufuli kubwaMie moyo wangu umechoka kupenda! Nitajipenda mwenyewe aki
Pole sana jamani EliMoyo wangu unalia sana sasa hivi...
Alishaniacha sema sikuwa naamini...
Hahaha hahahaAiseee ...
Inabidi nibadili titles from anko niwe mfariji paka pale ambapo atajitokeza mwingine.
Nitarud kuwa anko
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah...
Nasikia kulia ujue
Ananionea ati mie ndo nilimuacha?!
Basi jamani sameheaneni mm nimezoea kumwita eli shemeji pamoja alinikataa mbele za watuMie moyo wangu umechoka kupenda! Nitajipenda mwenyewe aki
Aiseee ...
Inabidi nibadili titles from anko niwe mfariji paka pale ambapo atajitokeza mwingine.
Nitarud kuwa anko
Sent using Jamii Forums mobile app
unalolisema lipo, but if u give chance NEGATVE u will get it
Tupatanishe shem wangu chibonge, halafu tutaenda Lushoto kupunguza stress!!!Wewe ndio umemuacha bwana kama vipi niwapatanishe