Ukiachwa achika

heri donda la mwili kuliko donda la moyo.

ila ni heri anaekuambia ukweli uweze kuufunga huo kurasa kuliko wale wanao kuacha ujijaze mwenyewe...
unabaki kung'aang'aa sharubu hujui nini la kufanya
 
Nilikupenda Eli...
Uliwezaje nireplace kwa kipindi kifupi hivyo lakinii! Nilishakusamehe aki! Kuwa na amani
.. kumbe hukunipenda eenh, ndio maana hutaki kunisamehe...

Give me another chance beibe!!
Daaah...
Natamani uyasemayo yawe kweli, inabidi tuu nikubali! Achukue mwingine hiyo nafasi!
Niko uliponiacha Eli
Niambie ukwapi nikuzukie chaap! RChugga, Moshi, Dar we sema tu. Sitaki uumie ma!!
Nafikiri uliniacha wewe apo!
Niliumia na sasa kidonda kimepona sijui kwa nini uliamua iwe hivyo Eli
..kwa hiyo umeniacha na sasa upo single? ..but why?
Nafikiri umelijua sasa jamani!
Mm niliambiwa ushemeji umeisha mbele za watu habari na hoja huko aibu niliona mimi
 
Noma sana,watu wanauana kwa ajili ya mapenzi,kuna mjeda kaua mke na yeye kajiua juzi juzi tu.
 
its not easy dada Sky,muda is like investment sio rahisi kupoteza hivi hivi na kuanza moja…watoto pia ni kama mnyororo I think kuachwa ukiwa msichana ni better kuliko ushakua mama..situation becomes more complicated
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…