Uke wake unatoa harufu mbaya, Nimuache?

Red Giant

Red Giant

JF-Expert Member
12,041
2,000
Hapana usimuache, may be ni one of these.

Fangasi wa candida

Hawa husababisha muwasho ukeni na kutokwa na ute mzito mweupe, ugonjwa huu unaweza mpata mwanamke yeyote ila zaidi ni wale wafanyao ngono. Kwa kawaida ute huu huwa haunuki. Pia unaweza hisi papuchi inawaka moto nakusikia maumivu wakati wa kugegedwa. Inasemekana kati ya wanawake 100 , 75 kati yao hupata ugonjwa huu maishani mwao.

Kutibu candida nirahisi sana , kuna dawa za kupaka kama clotrimazole cream, na pia kuna vidonge vya clotrimazole vya kuweka ukeni. Pia kuna vidonge vya fluconazole.

Unaweza kupaka clotrimazole au kutumia vidonge kwa siku7-14 kulingana na uzito wa ugonjwa pia unaweza kunywa kidonge kimoja cha fluconazole 150mg au vidonge vitatu (kimoja kila baada ya siku tatu) kulingana na hali

Trichomonas vaginalis
Kati ya wanawake mia kumi wanao hawa wadudu. Wanasababisha papuchi kuwasha, maumivu wakati wa kukojoa na kutokwa na maji ya rangi ya mchanganyiko wa kijani na njano ambayo hunuka vibaya.

Kutibu ni rahisi sana! Metronidazole (frajili) ambayo huwa na 200mg unameza 2g (unameza vidonge 10 kwa pamoja). Au vidonge viwili na nusu asubuhi na viwili na nusu jioni kwa siku saba. Pia unaweza tumia dawa ya tinidazole.

Bacterial vaginosis
Unatoa majimaji meupe yenye harufu ya samaki. Unapiga metronidazole200mg (frajili)vidonge viwili na nusu asubuhi na viwili na nusu jioni kwa siku saba.
wenu katika kujamiiana Red Giant
 
gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
18,157
2,000
naomba niwe mkweli kwako my lito brodah Red Giant..........
nilipoona heading nilistuka kidogo halafu nilipoona jina la mwenye mada nikapata hasira nikasema leo naenda kumchana za uso yaani hawez kuandika hivi..............
tena nilijipanga na verse za kutosha kumbe mmh!!!
 
Last edited by a moderator:
T

Tukwa

JF-Expert Member
316
225
Huyo anafistula mtu wangu mpeleke hospitali.
 
M

Mshaijawange

Member
19
0
Ushauri mzuri kwamba usimuache kwani dawa zipo. Ni vyema mwanamke akiwa na tatizo hilo kwenda hospitali daktari ajue tatizo ni nini na apendekeze tiba muafaka. Sio ukisikia harufu kali tu kutoka ukeni unaanza kujidunga dawa ambazo pengine sio za kutibu ugonjwa ulionao. Lakini kama ni harufu ya kawaida ya uke sio tatizo. Ni harufu yake mkuu, ulitaka inukie kama pilau?
 
strong ruler

strong ruler

JF-Expert Member
4,794
2,000
Mbona leo humu ndani nyuzi za sjui mapichuz kunuka nakutana kutana nazo sana kulikoni?!!
 
Msherwa

Msherwa

JF-Expert Member
1,338
2,000
Hapo ni kuvaa nosal cut-outs na kupiga mzigo kama kawa! Ile kitu ni kawaida yake kupollute, hata iwe safi vipi! Sema ndo vile huwa tunapotezea!! CC gfsonwin Madame B King'asti FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
Red Giant

Red Giant

JF-Expert Member
12,041
2,000
naomba niwe mkweli kwako my lito brodah Red Giant..........
nilipoona heading nilistuka kidogo halafu nilipoona jina la mwenye mada nikapata hasira nikasema leo naenda kumchana za uso yaani hawez kuandika hivi..............
tena nilijipanga na verse za kutosha kumbe mmh!!!
hehehehe! ila nimegundua kumbe watu wengi huchangia bila kusoma contents.
 
McDonaldJr

McDonaldJr

JF-Expert Member
6,406
2,000
Duh kuacha sio suluhisho mtani km vp embu mpele kwa wataalam wajue tatizo nn unaweza kukimbia papuchi ukaangukia inayonukia km nanasi kumbe full virusi izi mambo zinatokea kwa sababu sio bahati mby tu
 
charty

charty

JF-Expert Member
7,360
2,000
Utawaacha wangapii?na hvi vyOo vyetu vya kushare?cha muhimu mpeleke kwa gyno aachekiwe vzur zaidi,then aanze doz mapema
 
white girl

white girl

JF-Expert Member
1,370
0
Hapo ni kuvaa nosal cut-outs na kupiga mzigo kama kawa! Ile kitu ni kawaida yake kupollute, hata iwe safi vipi! Sema ndo vile huwa tunapotezea!! CC gfsonwin Madame B King'asti FaizaFoxy
Harufu hua ipo ile ya uke ni kawaida lakin ikizidi harufu hapo jua kuna kitu
Lakin pia magonjwa ya zinaa hua yanafanya uke unuke kama kaambukizwa
Lakin kuna wanaonuka tu bila hata ya kua na fungus hata angepaoshaje na kupamwagia udi wa kisomali
Kuna wengine ni uchafu hajisafishii vizuri,hafui nguo za ndani akazikausha vizuri hasafishi eneo husika vizuri
Nadham umenipata
 
Last edited by a moderator:
Excel

Excel

JF-Expert Member
18,807
2,000
unavaa nini? unafanya replacement baada ya muda gani? unafanyia usafi baada ya muda gani na kivipi? unajitambuaje kama binti mtu mzima?

kuna mambo mengi ambayo yanasabisha mpaka NYETI itoe harufu kali tofauti na ile natural.
 
ChickMagnet

ChickMagnet

JF-Expert Member
1,582
2,000
Wanawake wa skuizi bhana wasafi nje tu! Lakini ndani unaweza kusema panya kafa! Mbadilike bhana ,inakera kwa kweli
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
71,293
2,000
hapana usimuache, may be ni one of these!
Fangasi wa candida
Hawa husababisha muwasho ukeni na kutokwa na ute mzito mweupe, ugonjwa huu unaweza mpata mwanamke yeyote ila zaidi ni wale wafanyao ngono. Kwa kawaida ute huu huwa haunuki. Pia unaweza hisi papuchi inawaka moto nakusikia maumivu wakati wa kugegedwa. Inasemekana kati ya wanawake 100 , 75 kati yao hupata ugonjwa huu maishani mwao.
Kutibu candida nirahisi sana , kuna dawa za kupaka kama clotrimazole cream, na pia kuna vidonge vya clotrimazole vya kuweka ukeni. Pia kuna vidonge vya fluconazole.
Unaweza kupaka clotrimazole au kutumia vidonge kwa siku7-14 kulingana na uzito wa ugonjwa pia unaweza kunywa kidonge kimoja cha fluconazole 150mg au vidonge vitatu (kimoja kila baada ya siku tatu) kulingana na hali

Trichomonas vaginalis
Kati ya wanawake mia kumi wanao hawa wadudu. Wanasababisha papuchi kuwasha, maumivu wakati wa kukojoa na kutokwa na maji ya rangi ya mchanganyiko wa kijani na njano ambayo hunuka vibaya.
Kutibu ni rahisi sana! Metronidazole (frajili) ambayo huwa na 200mg unameza 2g (unameza vidonge 10 kwa pamoja). Au vidonge viwili na nusu asubuhi na viwili na nusu jioni kwa siku saba. Pia unaweza tumia dawa ya tinidazole.

Bacterial vaginosis
Unatoa majimaji meupe yenye harufu ya samaki. Unapiga metronidazole200mg (frajili)vidonge viwili na nusu asubuhi na viwili na nusu jioni kwa siku saba.
wenu katika kujamiiana Red Giant
Umesahau HIV Virus.

Hayo yote ni magonjwa ya zinaa na yote yanaambukizwa na wanaume.
 
Forum statistics

Threads
1,425,226

Messages
35,085,100

Members
538,249
Top Bottom