Uke wake unatoa harufu mbaya, Nimuache?

Uke wake unatoa harufu mbaya, Nimuache?

We lazima utakuwa kilaza, usikimbie tatizo u have to face the problem and find solution for it..huo ndo uwanaume sio kuvaa suruali tu..
 
unavaa nini? unafanya
replacement baada ya muda gani? unafanyia usafi baada ya muda gani na
kivipi? unajitambuaje kama binti mtu mzima?

kuna mambo mengi ambayo yanasabisha mpaka NYETI itoe harufu kali tofauti
na ile natural.

Mmh! kweli Wabongo hawasomi.....#Team Mkurupuko!
 
unaposema fungus wa kandida anasababisha ute ambao haunuki unamaanisha nini?
(pengine unaona contents haziendani na kichwa). nilikuwa nimeona mtu mmoja analalamika kuwa wakifanya mapenzi mwenzi wake hutoa ute mweupe. niliona nalo niweke hapa japo ute wa candida huwa haunuki na ukinuka ujue kuna jambo la ziada. nafikiri nimeeleweka.
 
sio hivyo ila kuna heading ukiona unaaza kujua kilichomo ndani
sasa ukisoma na jina loa mtoa uzi ndo kabisaa unajua hapa nitegem,ee hili sasa unakuja kumalizia hisia zako kwa kusoma ujumbe wote.

niliposoma ujumbe wote nilituliza presha manake mabaomu nlokuwa nimevaa hapo kwanza halafu ningekuta humu ndani ndio zile jumbe za akina fundenge hakya mama ungejua na ukaka na udada ungeishia hapo hapo
ungeingia kwenye mtego wa kusoma kichwa tu ungenihuzunisha sana.kweli ukubwa dawa.
 
Mpeleke hospitali idiot,wanaume responsible walitupeleka na wakagharamia,aftr tht wakaendelea kula mzgo kw afya tele
 
Mpeleke hospitali idiot,mana c ajabu we ndo umemwambukiza,wanaume responsible walitupeleka na wakagharamia,aftr tht wakaendelea kula mzgo kw afya tele
 
Kaka, kama ni iyo fishy smell tumia dawa simple sana, mwambie uyo bi dada ale mananasi kwa wingi , me pia had the same problem nanasi liliondoa tatizo kwa shemeji yako.
 
Mpeleke hospitali idiot,mana c ajabu we ndo umemwambukiza,wanaume responsible walitupeleka na wakagharamia,aftr tht wakaendelea kula mzgo kw afya tele

Nahisi hujasoma mada vizuri, soma tena ulewe mama eeh!!!
 
Pia kuna kikwapa cha papuch jmn azngatie usaf aioshe vzur adi ndan pia kuna sabun za kiarabu kuoshea papuch inanukia udi mnunulie kwenye maduka ya warabu itamsaidia zaid awe msaf
 
tatizo dogo tu unataka kumuacha, je angekuwa na Cancer ya Kizazi ungefanyaje????? acha zako wewe mtibie tu hiyo hali itakwisha.
 
Pia kuna kikwapa cha papuch jmn azngatie usaf aioshe vzur adi ndan pia kuna sabun za kiarabu kuoshea papuch inanukia udi mnunulie kwenye maduka ya warabu itamsaidia zaid awe msaf

sabuni ni tatizo sana kutumika maeneo hayo..barafu workss well kujisafishia..
 
Asante kwa somo, kwakweli hili ni tatizo kubwa sana hasa huku kwenye tropical countries
 
Back
Top Bottom