pole sana nlishaacha kusaidia watu hapa jf lakini ntakusaidia sister...kwanza kuna baadhiya wanawake ambao kwenye mzunguko wa siku kuwa na harufu ni kawaida...na intofautiana kutoana na bacteria ambao wapo kenye uke, hormne znazo alishwa(kiwango) na hata hakula...lakini pia kwa upande mwingine harufu inaweza kuwa inasababishwa na infection ya bactria(U.T.I ikiwepo japo ni njia ya mkojo ndo inapata UTI), fangasi(vaginal candidiasis), Trachomona vaginailis(aginitis)..na maranyingi haya mgonjwa huwepo kukiwa na harufu n muwasho(irritation or burning sensation)...kwa kuhauri tu
1.) zingatia usafi wakati wa hedhi na wakati usiokwa kwenye hedhi
2.)angalia vyakula unavyokula(kuna nyuzi nyingi zinaeleza vyakula vya kula na afya ya mwanamke)
3.) Ni vizuri ukaenda hospitali nzuri hapo bongo..wakufanyie vipimo kama vya U.T.I(urinalysis) na High vaginal swab(HVS)
pole sana kwa tatizo lako