Uke wake unatoa harufu mbaya, Nimuache?

Uke wake unatoa harufu mbaya, Nimuache?

Daaah kumbe watu huwa wanachangia kwa kusoma heading tuu!ndo maana hata matokeo yanazidi kuwa mabaya kwa miaka ya karibuni...
 
unaposema fungus wa kandida anasababisha ute ambao haunuki unamaanisha nini?
 
dah! Jawilat Husninyo mwallu ukipitia michango ya watu hapa zaidi ya asilimia 75 wako off point yaani chaka mazima. Kweli kunaulazima wa div. 7
 
Last edited by a moderator:
Wabongo kusoma ni tatizo kubwa kwao

Asilimia kubwa waliochangia huu uzi hawajasoma kilichomo ndani.!

Inasikitisha!smh!

Sent from BlackBerry 9520
 
dah! Jawilat Husninyo mwallu ukipitia michango ya watu hapa zaidi ya asilimia 75 wako off point yaani chaka mazima. Kweli kunaulazima wa div. 7

mpaka divn ten iwepo kwakweli. sioni sababu ya kuchangia kama hujasoma kilichoandikwa maana huo mchango wako hauna maana.
 
Last edited by a moderator:
hehehehe! ila nimegundua kumbe watu wengi huchangia bila kusoma contents.
sio hivyo ila kuna heading ukiona unaaza kujua kilichomo ndani
sasa ukisoma na jina loa mtoa uzi ndo kabisaa unajua hapa nitegem,ee hili sasa unakuja kumalizia hisia zako kwa kusoma ujumbe wote.

niliposoma ujumbe wote nilituliza presha manake mabaomu nlokuwa nimevaa hapo kwanza halafu ningekuta humu ndani ndio zile jumbe za akina fundenge hakya mama ungejua na ukaka na udada ungeishia hapo hapo
 
Hao wambele wote wapo chakali mazima!! Loh! Asante mwaya mtoa mada! Nadhani wale wakiume wanaokujaga humu wakilalamika oh panya kafwia ndani wataacha sasa.ngoja tusubiri.
 
Utawaacha wangapii?na hvi vyOo vyetu vya kushare?cha muhimu mpeleke kwa gyno aachekiwe vzur zaidi,then aanze doz mapema

Nadhani wakati unachangia ulikuwa na usingizi. Rudi hapa usome tena
 
wenzangu washamaliza yote... haya yafuate upesi
 
wala usimwache kaka,,cha muhimu ni kukaa nae na kumwambia ili mtafute solution,,mm mwenyewe nilishawahi kukutana na hilo tatizo,,shemeji yenu alikuwa anatoa harufu flani hivi ila nikajikaza nikamwambia na yeye akakubali kumbe ilikuwa ni UTI,,akajitibu na tatizo likaisha,,usimtenge kwa hilo tatizo
 
Na wewe tena umechangia kama wenzako. Ila tutafika tu.
 
Back
Top Bottom