Uke unauma

Mara ya kwanza hata madaktari walifikiri hivyo lakn sivyo, ana uume unaonitosha sio mdogo wala mkubwa, maandalizi yapo tena ya kutisha tu mpaka huku chini kunalowa kabisa na ukimwingiza "Abdalah kichwa wazi" hakwami kwami anazama vizuri tu,lakini maumivu bado yanakuwepo
Ungejaribu "abdalah" mwingine,yawezekana huyo wa sasa hamshabihiani.
 
Aaaaaah! kumbe umefanya na huyo jamaa yako tu! kuna wanaume mwengine madudu yao ni makubwa mno na huwa yanawasha, ndoo maana baada ya kufanya mapenzi nawe unawashwa, ungejaribu dudu mbalimbali, fupi, ndefu, nyembamba, nene au hii kama yangu. Tatizo sio wewe ila ni jamaa yako huyo!
weka pichaaaaaa:photo:
 
Tatizo lipo kwenye G sport imebugudhiwa ni pm nikupe maelekezo zaidi
 
nina miaka 24 na nimeanza kufanya mapenz nikiwa na miaka 20, na ndo mpenzi wangu niliye naye sasa.. na sijawahi kuwa na mpenzi mwingine

Je, hujawahi kuchepuka kabisaaaa....maisha yako yote??? au jamaa ako hajapiga goma la mtu sasa wadau wamemuweka sawa kupitia wewe?? maumivu yakizidi njoo unione nikupe tiba kama unavyoniona katika picha yangu....kazi ni kwako.
 
Mara ya kwanza hata madaktari walifikiri hivyo lakn sivyo, ana uume unaonitosha sio mdogo wala mkubwa, maandalizi yapo tena ya kutisha tu mpaka huku chini kunalowa kabisa na ukimwingiza "Abdalah kichwa wazi" hakwami kwami anazama vizuri tu,lakini maumivu bado yanakuwepo
Ais¨¦e!!
 
nakushauri ukatafute wataalamu zaidi, swala la kupaka mafuta ya ky jelly ni zuri je..... utapaka mpakalini?
 
kuna upuuzi mwingi sana unaendelea hapa jf sasa hivi, kuna wapuuzi wanaodhani hili ni jukwaa la mmu.

hapa ni jf doctor kama huna idea ya tiba anayohitaji mtu weka kijambio chako chini skip to another thread siyo kuja kukata mauno kama upo kwenye vigodoro.

msg hii ni kwa wapuuzi wote mlioleta pumba zenu kwenye thread inayohitaji tabibu.

Dr Riwa upo? msaidie huyu binti tafadhari.
 
Last edited by a moderator:

Matola naomba utulize Munkari
nimegundua hili tatizo linahitaji madokta tofauti na hao unaozani wewe
maadam kaenda hospital bila msaada wowote
dawa hapo ni moja tu..afatilie nilicho mshauri!
 
Last edited by a moderator:
Msaada wataalamu,

Ukeni kunauma kama kunawaka moto hivi hasa wakati wa kufanya mapenzi na hata baada ya kumaliza, kila aina ya vipimo nimefanya sijapata ugonjwa wowote.

Sasa inawezekana kuna mwanamke mwenzangu amewahi ugua au amewahi kumwona rafiki yake wa karibu akisumbuka au kuna wataalamu zaidi hapa, wote hao jamani naombeni msaada namna ya kutatua hili tatizo.

Mara ya kwanza madaktari walifikiri ni candadiasis nikapewa dawa haikusaidia, wengine wakabuni labda trikonoma nikapewa dawa lakini haikusaidia kitu, dawa nyingi natumia lakini bado sijapata unafuu.,naomba mwenye ujuzi anisaidie.

Natanguliza shukurani za dhati wapendwa

Jee, unafanya hayo mapenzi na mume wako wa ndoa au unafanya zinaa?
 
wewe bibi huku umepotea njia, hili ni jukwaa la jf doctor usilete stress zako na ufia dini wako, watoto wako mwenyewe wanagongwa tu kama kawa.

mkuu ako kabint huwa nakashangaa sana na misimamo yake , wakati anaandika kikristu, yani kutoka kushoto kwenda kulia badala ya kulia kwenda kushoto kama anavyo amini!!!!
 
Mara ya kwanza hata madaktari walifikiri hivyo lakn sivyo, ana uume unaonitosha sio mdogo wala mkubwa, maandalizi yapo tena ya kutisha tu mpaka huku chini kunalowa kabisa na ukimwingiza "Abdalah kichwa wazi" hakwami kwami anazama vizuri tu,lakini maumivu bado yanakuwepo

Zinaa ni dhambi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom