Uke unauma

Raelish

JF-Expert Member
Jul 17, 2013
489
162
Msaada wataalamu,

Ukeni kunauma kama kunawaka moto hivi hasa wakati wa kufanya mapenzi na hata baada ya kumaliza, kila aina ya vipimo nimefanya sijapata ugonjwa wowote.

Sasa inawezekana kuna mwanamke mwenzangu amewahi ugua au amewahi kumwona rafiki yake wa karibu akisumbuka au kuna wataalamu zaidi hapa, wote hao jamani naombeni msaada namna ya kutatua hili tatizo.

Mara ya kwanza madaktari walifikiri ni candadiasis nikapewa dawa haikusaidia, wengine wakabuni labda trikonoma nikapewa dawa lakini haikusaidia kitu, dawa nyingi natumia lakini bado sijapata unafuu.,naomba mwenye ujuzi anisaidie.

Natanguliza shukurani za dhati wapendwa
 
Kwanini hao madaktari wako wanabuni na kukisia maradhi bila vipimo?
 
nina miaka 24 na nimeanza kufanya mapenz nikiwa na miaka 20, na ndo mpenzi wangu niliye naye sasa.. na sijawahi kuwa na mpenzi mwingine

pole kwen toka mnaanza tatizo lilikuwepo au limejitokeza hivi karibuni?,hebu funguka zaidi
 
Msaada wataalamu, ukeni kunauma kama kunawaka moto hivi hasa wakati wa kufanya mapenzi na hata baada ya kumaliza, kila aina ya vipimo nimefanya sijapata ugonjwa wowote. sasa inawezekana kuna mwanamke mwenzangu amewahi ugua au amewah kumwona rafiki yake wa karibu akisumbuka au kuna wataalamu zaidi hapa, wote hao jamani naombeni msaada namna ya kutatua hili tatizo, mara ya kwanza madaktari walifikiri ni candadiasis nikapewa dawa haikusaidia, wengine wakabuni labda trikonoma nikapewa dawa lakn haikusaidia kitu, dawa nyingi natumia lakini bado sijapata unafuu.,naomba mwenye ujuzi anisaidie., Natanguliza shukurani za dhati wapendwa

Inaonekana uke wako hautengenezi ute wa kutosha,Ndio maana unapata michubuko wakati wa kufanya mapenzi,ambayo hupelekea husia za kuwaka moto baada ya tendo.
Nakushauri tumia lubricant, kama KY jelly halafu uje utupe feedback.
 
nina miaka 24 na nimeanza kufanya mapenz nikiwa na miaka 20, na ndo mpenzi wangu niliye naye sasa.. na sijawahi kuwa na mpenzi mwingine

Kwa sababu umeonekana hauna ugonjwa wowote ule, kuna uwezekano wa kati ya haya mambo mawili au yote kwa pamoja..

#1- Uume wake ni mkubwa sana kwa maumbile yako.....

#2- Hupati maandalizi mazuri kabla ya tendo.Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mara ya kwanza hata madaktari walifikiri hivyo lakn sivyo, ana uume unaonitosha sio mdogo wala mkubwa, maandalizi yapo tena ya kutisha tu mpaka huku chini kunalowa kabisa na ukimwingiza "Abdalah kichwa wazi" hakwami kwami anazama vizuri tu,lakini maumivu bado yanakuwepo
 
Inaonekana uke wako hautengenezi ute wa kutosha,Ndio maana unapata michubuko wakati wa kufanya mapenzi,ambayo hupelekea husia za kuwaka moto baada ya tendo.
Nakushauri tumia lubricant, kama KY jelly halafu uje utupe feedback.

hakuna mchubuko hata kidogo, yaani sijui nisemeje, ute upo wa kutosha uume unaingia kilain sana lakn maumv pale pale
 
Nenda muone dk.bingwa wa magonjwa ya wanawake. Atatatua shida yako.Dar wapo sijui huko unapoishi.
 
Try yale mafuta ya k-y jelly hata kama maji yako yanatoka may be hayana viscosity yenye kiwango, mupenzi wangu nakumbuka alinisumbua sana kipindi tunaanza mahusiano kwani alikuwa brand new mpaka akaanza kunibania eti abdala kipara mkubwa sasa hivi aaaaah analengeshea mwenyewe na anasimamia kucha kweli. So you will be fine worry nothing ongeza na intervial ya kujifuraisha na mpenzi wako yaweza saidia.
 
oky ngoja nitafute nijaribu
 
[h=2]Hebu soma hapa nahisi unaumwa hivi:

What is vulvodynia?[/h]Vulvodynia is a condition that refers to pain or soreness in the vulval area which is not attributable to an infection. The sensation is often one of burning, and is caused by extreme sensitivity in the nerve fibres in the vulval area. If you are unsure whether you have vulvodynia, or would just like to find out more about the condition then we recommend you check out the Vulval Pain Society.
[h=2]Symptoms[/h]Vulvodynia's symptoms are generally continuous – if they are provoked only by touch (sexual intercourse, tampon use) then the condition is commonly referred to as vestibulodynia. Many women present symptoms that overlap between the two conditions. Any form of vaginal penetration can be painful for those with vulvodynia, often necessitating the use of an intimate lubricant.
[h=2]How Yes[SUP]®[/SUP] can help[/h]Yes water-based is the natural choice of lubricant and vaginal moisturiser for women who experience vulvodynia. Yes is guaranteed pure through its organic certification and contains no potentially harmful chemical ingredients or any known skin irritants. Yes water-based is a dual purpose intimate lubricant and vaginal moisturiser that is safe and suitable for use topically to soothe the burning associated with vulvodynia. As a sexual lubricant, Yes protects and rehydrates delicate, intimate tissues. Yes is safe for use with vaginal dilators.
 
nina miaka 24 na nimeanza kufanya mapenz nikiwa na miaka 20, na ndo mpenzi wangu niliye naye sasa.. na sijawahi kuwa na mpenzi mwingine

Aaaaaah! kumbe umefanya na huyo jamaa yako tu! kuna wanaume mwengine madudu yao ni makubwa mno na huwa yanawasha, ndoo maana baada ya kufanya mapenzi nawe unawashwa, ungejaribu dudu mbalimbali, fupi, ndefu, nyembamba, nene au hii kama yangu. Tatizo sio wewe ila ni jamaa yako huyo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom